Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Wewe naye upeo mdogo ndo unakusumbua!Wewe ni taswira ya watanzania wengi. Ujinga ujuaji, na ufala humohumo.
Huwezi kuwa na akili timamu utoe pesa kwaajili ya magoli wakati shule zinauhaba wa vitendea kazi, Afya za wazee ni tatizo, sekta ya kilimo ni changamoto. Unapeleka pesa kwenye mpira..
Mashabiki wa yanga na simba siku mkipata akili Taifa ..
Pesa ya magoli ni pesa kidogo sana ambayo haina impact yoyote ktk sectors ulizozitaja!
Hujui tu how money works!
Huko unakosema kumepelekwa mabilioni lakini hali ndo kama hiyo.
Magoli hata yakifungwa na Simba na Yanga Kila mechi, bilioni moja haiwezi Kwisha.
Mimi nadhani Rais Samia aongeze dau maana Promo analopata ni kubwa sana ukilinganisha na kiasi anachotoa!