Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Habari wana yanga wenzangu.
Kweli yanga tunachukiwa sana,imejizihirisha leo sehemu nilipokuwa nacheki mechi ya yanga na lamba lamba mashabiko wa simba walikuwa wanatukana piga hao mbwa.
Si ghafla azizi k akawafunga mdomo,wakakimbia banda kwa aibu,sasa simba kiko wapi?
Yanga ni timu ya kuifundisha simba na hizo timu nyingine mpira ni dakika 90,na timu inayocheza mpira kwa kufurahisha kwa sasa ni yanga pekee,aisee kesho taifa linaenda kuingia kwenye aibu ya mwaka.
Kesho itakuwa aibu ya mwaka simba itafungwa goli 4 nipo pale nasubria maua yangu nitayapokea kwa mikono miwili,jamaa walikamia sana mechi Leo,wachezaji wa yanga wakafungua bomba la mafuriko kilichowakuta lamba lamba lazima wakalale na viatu.
Kesho mapema nawahi siti ya mbele kwenye banda,kuwacheka makoro.
Yanga nakupenda sanaaaaaaaaa💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛👍👍👍