Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
SISI KM SIMBA HATUBISHI HILO,NYINYI NI NOUMAATake it🔥
Ipo hivi..
Yanga sc imevuna alama zote 6 kwa Tp Mazembe.
Imekomba alama 4 kati ya 6 kwa Real Bamako.
Imechukua alama 3 kati ya 6 kwa Us monastir
Kifupi Yanga sc kwa sasa ndio timu bora katika ukanda wetu huu wa Cecafa.Tujivunie
View attachment 2574274
Kundi zima la yanga wabovu, wakiwemo yanga wenyeweKuna timu imechukua points Kwa wabovu tu
Vipers wabovu?Kuna timu imechukua points Kwa wabovu tu
Na ndiyo hiyo itacheza super league baadae.Ukanda wa kisoka wa cecafa timu pekee iliyosalia KLABU BINGWA,i think hiyo ndo itakuwa bora
Bhaaaaasi.Na ndiyo hiyo itacheza super league baadae.
Huko shirikisho wote wabovu hakuna mzimaKuna timu imechukua points Kwa wabovu tu
Tupe na stats za mtani wako tufanýe analysis mzee babaKuna watu watanuna. Ila ukweli ni kwamba mpaka sasa Yanga imepanda kutika nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 27 katika viwango vya CAF.
Na ikiendelea kusonga hatua mbili zilizobaki, huenda ikapanda nafasi za juu zaidi ndani ya muda mfupi.
Kumbuka hiyo ni ligi ya vibonde waliofurushwa ligi ya mabingwa.Take it[emoji91]
Ipo hivi,
Yanga sc imevuna alama zote 6 kwa Tp Mazembe.
Imekomba alama 4 kati ya 6 kwa Real Bamako.
Imechukua alama 3 kati ya 6 kwa Us monastir
Kifupi Yanga sc kwa sasa ndio timu bora katika ukanda wetu huu wa Cecafa. Tujivunie
View attachment 2574274
Wasema kweli?Kuna watu watanuna. Ila ukweli ni kwamba mpaka sasa Yanga imepanda kutika nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 27 katika viwango vya CAF.
Na ikiendelea kusonga hatua mbili zilizobaki, huenda ikapanda nafasi za juu zaidi ndani ya muda mfupi.
Kuna watu watanuna. Ila ukweli ni kwamba mpaka sasa Yanga imepanda kutika nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 27 katika viwango vya CAF.
Na ikiendelea kusonga hatua mbili zilizobaki, huenda ikapanda nafasi za juu zaidi ndani ya muda mfupi.