Yanga ni chamdeko.. Yanga ni lialia

Yanga ni chamdeko.. Yanga ni lialia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Mitifuano inayoendelea mitandaoni kuhusu Derby ya Kariakoo kuhusu Yanga kutocheza ama kucheka inakuzwa na ujinga wa timu hiyo kongwe ya Jangwani pale penye mafuriko na tope kila mwaka
Sababu wanazotoa ni za kitoto sana na za kijuha kabisa..
Yaani ni kama vile wanataka kubebwa kama ccm inavyobebwa.. Mwisho wa siku inaonekana ni timu lialia na kudeka kwingi

View: https://www.facebook.com/share/v/1AHjxrhqiy/
 
Achana nao hao. Cha msingi Mnyama Alisha tuma nauli na ya kutolea hivyo anasubiri mzigo uje gheto autafune.
 
Mitifuano inayoendelea mitandaoni kuhusu Derby ya Kariakoo kuhusu Yanga kutocheza ama kucheka inakuzwa na ujinga wa timu hiyo kongwe ya Jangwani pale penye mafuriko na tope kila mwaka
Sababu wanazotoa ni za kitoto sana na za kijuha kabisa..
Yaani ni kama vile wanataka kubebwa kama ccm inavyobebwa.. Mwisho wa siku inaonekana ni timu lialia na kudeka kwingi

View: https://www.facebook.com/share/v/1AHjxrhqiy/

HATUCHEZI!!!!
 
Sasa makolo fc italiaje wakati muda wote mamayake amekubeba mgongoni
 
Mzee wangu, naona leo umeandika kishabiki
Mimi ni SIMBA damu
FB_IMG_1746842862745.jpg
 
Mitifuano inayoendelea mitandaoni kuhusu Derby ya Kariakoo kuhusu Yanga kutocheza ama kucheka inakuzwa na ujinga wa timu hiyo kongwe ya Jangwani pale penye mafuriko na tope kila mwaka
Sababu wanazotoa ni za kitoto sana na za kijuha kabisa..
Yaani ni kama vile wanataka kubebwa kama ccm inavyobebwa.. Mwisho wa siku inaonekana ni timu lialia na kudeka kwingi

View: https://www.facebook.com/share/v/1AHjxrhqiy/

Mambo yasiwe mengi, we waroge tu..!!
 
Shida Ya ile Timu ni Viongozi wajinga Wajinga na wanatumia Mtaji wa Mashabiki walio nao wajinga wajinga.
Mashabiki ndio tatizo kwenye ile timu
Wao wanapelekwa pelekwa Hawajiulizi chochote kile.
Ukiwa na Mashabiki au Wanachama Wajinga Nirahisi Viongozi kutumia Ujinga wao Kufanya mambo ya Kijinga na Hovyo.
TFF imelea Sana Upumbavu huu Sasa Limekuwa Jipu
Niwakato sahihi wa TFF kuamua Bila Kuangalia Sura wakaze
Tena wasijibu Mbwa yeyote wao watulie Mechi Ni Tarehe 15 full stop.
 
Dah mzee wangu.... Au basi bwana👍
 
Back
Top Bottom