Yanga ni chamdeko.. Yanga ni lialia

Nijuavyo mm hakuna derby ya NBC, ile ya tar 8 walipita nayo bodi ya ligi na simba. Yanga hata isipopewa point haitacheza, kuitisha kushushwa daraja sio tatizo kama wengine wanavyodhani..pia yanga haiwezi kuihofia simba kwakuwa si tishio kwake hata takwimu zinajulikana..hata simba angeshinda ile mechi uwanjani bado record za kufungwa mara nyingi na yanga hazifutiki..muhimu waliosababisha mchezo kutochezwa wawajibike au wawajibishwe
 
Tatizo la msingi unalijua?
 
 
Tanzania siyo nchi maskini kwa bahati mbaya
 
Ila naanza kuamini asili ya timu ya yanga na mashabiki wake ni kukosa elimu ya uelewa,ubishi na umasikini! Hili mechi itachezwa na yanga wataleta timu uwanjani,waliosababisha mechi isichezwe serikali ameanza kuwachukulia hatua ie meneja wa UWANJA,kumbuka miongoni mwa sababu walizotoa bodi ya ligi ni harufu ya rushwa! Sasa Wana yanga mngekuwa na akili mngekuwa mnaunganisha dot tu! Mfano alieizuia simba kufanya mazoezi( meneja) na kanuni inaruhusu na alieruhusu yanga kuingia uwanjani wakati bodi imetoa taarifa ya kughairisha mechi( meneja) Leo ametolewa na kurudishwa wizarani (bench ofisa)!!! Poleni sana yanga Kwa UJUHA
 
MAHANGAIKO YOOOTE HAYA YA YANGA NI KUIVURUGA SIMBA ILI ISIBEBE KOMBE LA CAF,POLENI SANA.
"TUKO IMARA".
 
Mwakalebela: Yanga Itacheza Mechi Tarehe 15 — Sheria Iko Juu ya Kila Kitu

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela, ameibuka na kutoa kauli nzito kuhusu sakata la mchezo wa marudiano kati ya Yanga na Simba uliopangwa kuchezwa Juni 15, 2025.

Akizungumza, Mwakalebela amesema anaamini kwa asilimia mia moja kwamba Yanga itashuka dimbani kucheza mechi hiyo kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

“Mimi naamini Yanga itacheza mechi tarehe 15. Kwa sasa hakuna tena mjadala, kwani shauri lilishakwenda hadi Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), na uamuzi wake ulikuwa wazi – mamlaka ya kupanga ratiba na kushughulikia masuala ya mpira ni ya shirikisho, si ya klabu,” alisema Mwakalebela.

Mwakalebela ameongeza kuwa klabu yoyote, hata iwe kubwa kiasi gani, haina mamlaka ya kupinga ratiba iliyoandaliwa na chombo rasmi cha kusimamia soka nchini. Ametahadharisha kuwa kutoshiriki mechi hiyo kutakuwa ni kuvunja sheria za mashindano, jambo ambalo linaweza kuisababishia Yanga adhabu kali.

“Sheria zipo na lazima ziheshimiwe. TFF walipewa mamlaka yote na CAS. Sasa kama timu haijitokezi, sheria itafuata mkondo wake – iwe ni faini, kufungiwa au hatua nyingine. Hilo halihitaji mjadala,” aliongeza.

Kauli ya Mwakalebela imekuja wakati kukiwa na sintofahamu miongoni mwa baadhi ya mashabiki na viongozi wa Yanga kuhusu uhalali wa tarehe ya mchezo huo. Hata hivyo, uamuzi wa CAS kutupilia mbali rufaa ya Yanga dhidi ya ratiba ya TFF umeweka bayana kuwa mchezo huo upo halali na unatakiwa kuchezwa kama ulivyopangwa.

Credit @crownsports__tz
 
|Kwa Mujibu wa CAF STADIUM REGURALATIONS uwanja wa Amani Zanzibar haukidhi Kupokea Mchezo wa Fainali..✍️

Uwanja wa Amani Zanzibar upo CATEGORY 3 na ili uwanja uweze Kukidhi Kuchezwa Fainali ya Mashindano ya CAF(Caf Interclub Competitions) unatakiwa Kuwa CATEGORY 4.

Maana yake uwanja wa Amani Unakosa Vitu vya Msingi vya Category 4 Kama

1.Eneo na Idadi Kwa Mashabiki
2.Idadi na Eneo Kwa Dressing room
3.Idadi na Eneo kwa Press Conference
4.Idadi kwa Eneo kwa VIP na VVIP

Note; Kelele za Chura haziwezi Kumzuia mnyama Kutafuna nyama zake .. Wachawi Hi🤣

Ameandika @mzeewajambia
 
Wazee wa jf mmekuwa wapuuzi inabidi mpishe vijana sasa.... Leeni wajukuu zenu maana mmeanza kuwa viazi vitam😂🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…