Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😀😀😀 na ndio itakuwa njia bora sababu kupasha kiporo si mchezo.😁😁😁wasubilie nao viporo vyao ili wabebwe,maana saiz wanaona aibu kusema tunanunua marefa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 na ndio itakuwa njia bora sababu kupasha kiporo si mchezo.😁😁😁wasubilie nao viporo vyao ili wabebwe,maana saiz wanaona aibu kusema tunanunua marefa
Haya yote mmeyataka wenyewe. Sisi kila tunapojichukulia point muhimu huwa kimya ila nyie mnachonga sana juu yetu.Kipindi si kirefu kijacho mtakua kiiimya kabisa
Kweli mkuu, kama mwongoza ligi ni sawa na ndanda, basi simba watabugizwa nyingi na Nkana hapo taifa. Bora wangeikodi yanga walau ingeleta upinzani wallahSoka la nchi yetu liko hali mbaya kwa kweli. Huyu anayeeongoza ligi ndio achukue ubingwa halafu awakilishe kimataifa wakati zaidi ya matokeo kiuchezaji hana tofauti na ndanda.
Hivi kweli upo tumamu kweli wewe?mpira ni ushindi hayo meingine mbwembwe tuu chenga twawala.Soka la nchi yetu liko hali mbaya kwa kweli. Huyu anayeeongoza ligi ndio achukue ubingwa halafu awakilishe kimataifa wakati zaidi ya matokeo kiuchezaji hana tofauti na ndanda.
kelele za mfa maji mlisema hatuna uwezo wa kuwafunga hata ALLIANCE sasa moto umewashwa hautazimika bakini na matumaini ya viporo na mabao ya ugenini na nasikia MOaliwaahidi milioni 100 zote kawapa Nkana mmerudi na Costa wachezaji wako Tunduma wako hoi wanawaza milion 100 hizo ngonjera mliimba tangu mwanzo wa ligi labda badilisheni melodi ya nyimbo zenu hapo tutawaelewaTatizo mnavisingizio kibao mtakapokuja kuanza kufungwa
Tukutane mwezi wA 5View attachment 970275
Wadau kama mada inavyojieleza, naomba msaada wa mwazo yenu.kelele za mfa maji mlisema hatuna uwezo wa kuwafunga hata ALLIANCE sasa moto umewashwa hautazimika bakini na matumaini ya viporo na mabao ya ugenini na nasikia MOaliwaahidi milioni 100 zote kawapa Nkana mmerudi na Costa wachezaji wako Tunduma wako hoi wanawaza milion 100 hizo ngonjera mliimba tangu mwanzo wa ligi labda badilisheni melodi ya nyimbo zenu hapo tutawaelewa
Wewe utakuwa mzee Akilimalikelele za mfa maji mlisema hatuna uwezo wa kuwafunga hata ALLIANCE sasa moto umewashwa hautazimika bakini na matumaini ya viporo na mabao ya ugenini na nasikia MOaliwaahidi milioni 100 zote kawapa Nkana mmerudi na Costa wachezaji wako Tunduma wako hoi wanawaza milion 100 hizo ngonjera mliimba tangu mwanzo wa ligi labda badilisheni melodi ya nyimbo zenu hapo tutawaelewa
Wewe utakuwa mzee Akilimali
Kwani unateseka mkuuALIVYOSEMA RAGE KWENYE MKUTANO MKUU WA SIMBA SC :
Simba oyee ... Wanasimba msifanye makosa Mei 4 hakikisheni mnachagua kiongozi ambaye atakaa madarakani miaka minne, msifanye makosa baada ya mwaka mmoja mkataka aondoke, Katiba ya Simba inakataza mapinduzi.
Mimi sitagombea, mimi siyo maskini, sina njaa, hata mkizomea nasemaje mimi sina njaa, na wanachama wengi mliopo hapa ni mambumbumbu.
siteseki ni raha tu Rage alidhihirisha umbumbu mbu wa simbaKwani unateseka mkuu
Ujue hili jina la Mbumbumbu limekaa kiutani lakini ukifatilia vizuri utagundua Rage ana uhakika na alichokisema.hivi simba mnafikiri au mnawaza umepigwa 2-1 unasema matokeo ni 2-2 na ndyo maana hamuelewi sasa Nkana atawalegezea mtoe droo ya 1-1 halafu ndo mtajua kuwa mlitoa 2-2 zambia
hamchelewi kwenda FIFA kudai pointSubiri Othman Kazi atakavyopaka rangi mechi ya jana,yanga vs ruvu. Hivi jamaa ni manyaunyau
Mkuu sikupati vizuri Mic na "hedafoni" zimekorofisha.Nitafute baaden,Inshaallah!Moisemusajiografii na Sesten Zakazaka mmeamka salama? Kwa hali hii sijui kama viporo vyenu vitakuwa salama kweli 😀😀
Hahahaaa. Pole sana jamaani. Naomba nikuazime zangu angalau unipate kisha nazichukua. 😂😂😂 ila mjanja sana wewe.Mkuu sikupati vizuri Mic na "hedafoni" zimekorofisha.Nitafute baaden,Inshaallah!