Yanga ni habari Nyingine

Yanga ni habari Nyingine

hivi simba mnafikiri au mnawaza umepigwa 2-1 unasema matokeo ni 2-2 na ndyo maana hamuelewi sasa Nkana atawalegezea mtoe droo ya 1-1 halafu ndo mtajua kuwa mlitoa 2-2 zambia
 
Kipindi si kirefu kijacho mtakua kiiimya kabisa
Haya yote mmeyataka wenyewe. Sisi kila tunapojichukulia point muhimu huwa kimya ila nyie mnachonga sana juu yetu.
Mtakufa kwa wivu
Soka la nchi yetu liko hali mbaya kwa kweli. Huyu anayeeongoza ligi ndio achukue ubingwa halafu awakilishe kimataifa wakati zaidi ya matokeo kiuchezaji hana tofauti na ndanda.
Kweli mkuu, kama mwongoza ligi ni sawa na ndanda, basi simba watabugizwa nyingi na Nkana hapo taifa. Bora wangeikodi yanga walau ingeleta upinzani wallah
 
Tatizo mnavisingizio kibao mtakapokuja kuanza kufungwa
Tukutane mwezi wA 5
IMG_20181205_062452_833.jpeg
 
Soka la nchi yetu liko hali mbaya kwa kweli. Huyu anayeeongoza ligi ndio achukue ubingwa halafu awakilishe kimataifa wakati zaidi ya matokeo kiuchezaji hana tofauti na ndanda.
Hivi kweli upo tumamu kweli wewe?mpira ni ushindi hayo meingine mbwembwe tuu chenga twawala.
 
Tatizo mnavisingizio kibao mtakapokuja kuanza kufungwa
Tukutane mwezi wA 5View attachment 970275
kelele za mfa maji mlisema hatuna uwezo wa kuwafunga hata ALLIANCE sasa moto umewashwa hautazimika bakini na matumaini ya viporo na mabao ya ugenini na nasikia MOaliwaahidi milioni 100 zote kawapa Nkana mmerudi na Costa wachezaji wako Tunduma wako hoi wanawaza milion 100 hizo ngonjera mliimba tangu mwanzo wa ligi labda badilisheni melodi ya nyimbo zenu hapo tutawaelewa
 
Hivi Yanga wamechukua ubingwa maana hiki kigodoro Cha Shangwe humu ndani utafikiri ligi imeisha Sasa wanakabidhiwa chao
 
kelele za mfa maji mlisema hatuna uwezo wa kuwafunga hata ALLIANCE sasa moto umewashwa hautazimika bakini na matumaini ya viporo na mabao ya ugenini na nasikia MOaliwaahidi milioni 100 zote kawapa Nkana mmerudi na Costa wachezaji wako Tunduma wako hoi wanawaza milion 100 hizo ngonjera mliimba tangu mwanzo wa ligi labda badilisheni melodi ya nyimbo zenu hapo tutawaelewa
Wadau kama mada inavyojieleza, naomba msaada wa mwazo yenu.
Maana inawezekana mtu mwingine anaweza akawa asikia kuna soko kati ya zao atakalonishauri.
 
kelele za mfa maji mlisema hatuna uwezo wa kuwafunga hata ALLIANCE sasa moto umewashwa hautazimika bakini na matumaini ya viporo na mabao ya ugenini na nasikia MOaliwaahidi milioni 100 zote kawapa Nkana mmerudi na Costa wachezaji wako Tunduma wako hoi wanawaza milion 100 hizo ngonjera mliimba tangu mwanzo wa ligi labda badilisheni melodi ya nyimbo zenu hapo tutawaelewa
Wewe utakuwa mzee Akilimali
 
Wewe utakuwa mzee Akilimali

ALIVYOSEMA RAGE KWENYE MKUTANO MKUU WA SIMBA SC :
Simba oyee ... Wanasimba msifanye makosa Mei 4 hakikisheni mnachagua kiongozi ambaye atakaa madarakani miaka minne, msifanye makosa baada ya mwaka mmoja mkataka aondoke, Katiba ya Simba inakataza mapinduzi.

Mimi sitagombea, mimi siyo maskini, sina njaa, hata mkizomea nasemaje mimi sina njaa, na wanachama wengi mliopo hapa ni mambumbumbu.
 
Yanga wameshamtia papaa Mwinyi Zahera katimka zake vipigo haviko mbala yaani Kama ndo Dar kimeshafika Mbezi
 
ALIVYOSEMA RAGE KWENYE MKUTANO MKUU WA SIMBA SC :
Simba oyee ... Wanasimba msifanye makosa Mei 4 hakikisheni mnachagua kiongozi ambaye atakaa madarakani miaka minne, msifanye makosa baada ya mwaka mmoja mkataka aondoke, Katiba ya Simba inakataza mapinduzi.

Mimi sitagombea, mimi siyo maskini, sina njaa, hata mkizomea nasemaje mimi sina njaa, na wanachama wengi mliopo hapa ni mambumbumbu.
Kwani unateseka mkuu
 
hivi simba mnafikiri au mnawaza umepigwa 2-1 unasema matokeo ni 2-2 na ndyo maana hamuelewi sasa Nkana atawalegezea mtoe droo ya 1-1 halafu ndo mtajua kuwa mlitoa 2-2 zambia
Ujue hili jina la Mbumbumbu limekaa kiutani lakini ukifatilia vizuri utagundua Rage ana uhakika na alichokisema.
 
Subiri Othman Kazi atakavyopaka rangi mechi ya jana,yanga vs ruvu. Hivi jamaa ni manyaunyau
 
Back
Top Bottom