Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

Yanga hatupati hata tuzo moja.

Kura zitapigwa nyingi sana lqkini matokeo hayawezi kuwa upande wetu.

Huwezi kushindana na Ahly .
Huwesi kumshinda Onana.
Ata tukikosa tiyali meseji imefika ya kwamba timu Bora ni ipi, kuingia tu kwenye tuzo za caf barani Africa ukicompete na timu kubwa Kama Aly ahly, whydad, mamelod,raja, ni ujumbe tosha ya kwamba yanga ndio klabu Bora kwa ukanda wa Africa MASHARIKI na kati, timu yako aipo apo inayoishia robo fainali Kila michuano labda muingie kwenye tuzo za kufa KIUME🀣🀣
 
Na Mayele yumo.
 
hujamuona pia mayele pale!
 
Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!
Kwa maana hiyo na vilabu vingine vyote vilivyoingia kwenye kuwania tuzo za CAF, navyo pia ni vilabu bora Afrika kwa mwaka 2022/2023? Tutakuwa na vilabu vingapi bora vya mwaka Afrika kama kigezo cha ubora ni kuchaguliwa kuwania?
 
Kama auna vigezo auwezi kuchaguliwa kuwania, waliokidhi vigezo ndio uchaguliwa kuwania, unajua maana ya neno "kuchuja"? Kuchuja ni kuondoa takataka au vitu visivyohitajika au makapi na kubakiza cream ya vitu vinavyohitajika!
Kwa maana iyo jibu unalo ya kwamba timu yako aimo baada ya kuchujwa!!!
 
Umeangalia title ya uzi wako lakini? Ngoja niinukuu tena:
"Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!"

Je, kura zimeshapigwa na Yanga ikatangazwa?
 
Acha ujinga..ataeshinda ndiyo atakuwa bora
 
Umeangalia title ya uzi wako lakini? Ngoja niinukuu tena:
"Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!"

Je, kura zimeshapigwa na Yanga ikatangazwa?
Kuchaguliwa tu kuwania tuzo aijalishi imeshinda ama aijashinda ni kigezo tosha Cha ubora wake, Kwani afrika MASHARIKI Kuna timu ngapi? Kwanini iwe yanga? Kwanini isiwe Simba? Uwezi kuchaguliwa kugombania tuzo Kama timu yako aikidhi vigezo, Ile pale sio sandakarawe mwenye kupata apate, utaingia kwenye tuzo Kama umekidhi vigezo vya kuingia na sio vinginevyo!
 
Nasikia na Marumo Gallants nao wamo [emoji3][emoji3]
 
Nasikia na Marumo Gallants nao wamo [emoji3][emoji3]
Lazima wawemo maana kwa vigezo vya caf na mafanikio amuwafikii wao walicheza NUSU fainali kombe la shirikisho je wewe ulifika iyo stage? Kwa maana iyo malumo wako juu ya mwakarobo!
 
Lazima wawemo maana kwa vigezo vya caf na mafanikio amuwafikii wao walicheza NUSU fainali kombe la shirikisho je wewe ulifika iyo stage? Kwa maana iyo malumo wako juu ya mwakarobo!
Leta ranks tuone kama wako juu, mafaniko hayapimwi hivyo. Kwamba leo ukipata billion 10 Kesho ukawa huna hata 100 utajisema una mafanikio?
 
Leta ranks tuone kama wako juu, mafaniko hayapimwi hivyo. Kwamba leo ukipata billion 10 Kesho ukawa huna hata 100 utajisema una mafanikio?
Mafanikio yao ni kucheza NUSU fainali kombe la shirikisho barani afrika vipi Simba ilifika hatua Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…