Yanga ni mbovu

Yanga ni mbovu

Gamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told

PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
Kwamba Yanga ni mbovu sababu ya Azam? Uzuri hii ni ligi Makolo mtakutana nao na uzuri tumeishawajeruhi. Hii Azam ni timu ngumu sio ya kubeza hata kidogo.
 
Mpira tunauangalia tofauti sana. Kuna mtu dakika 90 zote anachezesha kichwa, kushoto, kulia, kushoto, kulia hadi Mpira unaisha, lakini hajaambulia chochote zaidi ya kujua matokeo tu
SIO kweli, wewe unakaza kichwa ila that was bad football
 
Ila ushabiki wa mpira unatakiwa uwe na moyo sanaaa ukiwa na kimoyo kilaini walai unaweza kufa kwa presha au kupigana au kununia watu...
Imajini shabiki wa Uto anaona huu uzi wakati wanajiona wana timu inayoweza kumfumua Alhyl nje ndani....duuuuh...
🤣 🤣 🤣 🤣
 
Huyu Azam aliyefungwa leo, ndiye anakusumbuaga na kushindwa kupata matokeo mazuri mbele yake, Yanga kaishamaliza hesabu zake kwa mzunguko wa kwanza dhidi ya Azam. Bado nyie mnakazi nae pia
Hata wewe una sumbuliwaga na Ihefu
 
azam alikuja akiwa amepania , hii ilisababisha mechi iwe ya msukumo mkubwa .
Vilevile kocha wao mpya ameleta badiliko
 
Kaeni mjue kwa Simba hii Azam wajipange sana....hakuna historia hapa
 
Gamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told

PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
Kwa hiyo kama yanga ni mbovu imekuwaje tena??mbona uzi unakimbia??usipende kuropoka
 
azam alikuja akiwa amepania , hii ilisababisha mechi iwe ya msukumo mkubwa .
Vilevile kocha wao mpya ameleta badiliko
true, but yanga was not overly corrected. too many mistakes and instability . azam could do more damages if they were ruthless. yanga fell off 🚮
 
Back
Top Bottom