Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hizi ni koo mbili tofauti kabisa zenye vipawa visivyolingana kabisa.
Ukitaka kuwa maarufu bila ya umaarufu, nenda Yanga ukasifiwe hadi ujione wewe ndiyo wewe.
Ukienda Simba utapata mafanikio bila ya makele. Simba ni timu ya watu wasiojisifu.
Yanga wana mbwembwe Sana, nakumbuka miaka ya tisini mwishoni na Elfu mbili mwanzoni Yanga walipokuwa wanajiita "wa kimataifa" kisa kucheza hatua ya makundi michuano ya CAF.
Sasa leo kila timu wanayocheza nayo ni ngumu ila timu zoote zinazocheza na Simba ndiyo mbovu. Hizi mbwembwe ndizo zinaitofautisha Simba na Yanga.
Tusubiri tuone kama watabakia kwenye ukoo wao wa Mwakambwembwe ama wataunga ukoo na Simba na kuwa kina Mwakarobo.