Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Alishafika tayari, wakati huo wewe ulikuwa ukinyonya maziwa, hivyo huwezi kwa na kumbukumbu kuhusu Simba na Stella Abdjan.Fika kwanza fainali ya shirikisho halafu ndio uje kujibizana na yanga
Unapiga mayowe tu
Mpaka uelewe fainali aliyofika kolo lazima uandike maelezo kibao kama hayo yako.Alishafika tayari, wakati huo wewe ulikuwa ukinyonya maziwa, hivyo huwezi kwa na kumbukumbu kuhusu Simba na Stella Abdjan.
Confederation cup ilianzishwa 2004Alishafika tayari, wakati huo wewe ulikuwa ukinyonya maziwa, hivyo huwezi kwa na kumbukumbu kuhusu Simba na Stella Abdjan.
Alishafika tayari, wakati huo wewe ulikuwa ukinyonya maziwa, hivyo huwezi kwa na kumbukumbu kuhusu Simba na Stella Abdjan.
Uzuri wana nafasi ya kuingia robo fainali wakipambana.Tusubiri tuone kama watabakia kwenye ukoo wao wa Mwakambwembwe ama wataunga ukoo na Simba na kuwa kina Mwakarobo.
Kombe la Stela limechezwa kitandani hakuna picha wala medali πππ mbumbumbu will always be mbumbumbu, Hakuna timu yoyote Tanzania iliyowahi kucheza fainali CAF tofauti na Yanga.Alishafika tayari, wakati huo wewe ulikuwa ukinyonya maziwa, hivyo huwezi kwa na kumbukumbu kuhusu Simba na Stella Abdjan.
Atakuwa alifika fainali ya Mapinduzi Cup.Alishafika tayari, wakati huo wewe ulikuwa ukinyonya maziwa, hivyo huwezi kwa na kumbukumbu kuhusu Simba na Stella Abdjan.
Simba alifika fainali kombe Gani? Mwaka Gani? Tukumbuke sote shirikisho lilianzishwa mwaka 1994.Alishafika tayari, wakati huo wewe ulikuwa ukinyonya maziwa, hivyo huwezi kwa na kumbukumbu kuhusu Simba na Stella Abdjan.
Lakin simba kapigwa mara 4 mfululizo na Yanga, nani alikuwa abapokea bahasha, mangungu au ? Hahahaha YANGA JESHI LILILOSHINDIKANAHizi ni koo mbili tofauti kabisa zenye vipawa visivyolingana kabisa.
Ukitaka kuwa maarufu bila ya umaarufu, nenda Yanga ukasifiwe hadi ujione wewe ndiyo wewe.
Ukienda Simba utapata mafanikio bila ya makele. Simba ni timu ya watu wasiojisifu.
Yanga wana mbwembwe Sana, nakumbuka miaka ya tisini mwishoni na Elfu mbili mwanzoni Yanga walipokuwa wanajiita "wa kimataifa" kisa kucheza hatua ya makundi michuano ya CAF.
Sasa leo kila timu wanayocheza nayo ni ngumu ila timu zoote zinazocheza na Simba ndiyo mbovu. Hizi mbwembwe ndizo zinaitofautisha Simba na Yanga.
Tusubiri tuone kama watabakia kwenye ukoo wao wa Mwakambwembwe ama wataunga ukoo na Simba na kuwa kina Mwakarobo.
Ndio maana nasema enzi hizo mlikuwa mkinyonya maziwa. Hamuwezi kuwa na kumbukumbu kamili. Hebu tembelea hii link 1993 CAF Cup - WikipediaAtakuwa alifika fainali ya Mapinduzi Cup.
Ndio maana nasema enzi hizo mlikuwa mkinyonya maziwa. Hamuwezi kuwa na kumbukumbu kamili. Hebu tembelea hii link 1993 CAF Cup - WikipediaSimba alifika fainali kombe Gani? Mwaka Gani? Tukumbuke sote shirikisho lilianzishwa mwaka 1994.
Ndio maana nasema enzi hizo mlikuwa mkinyonya maziwa. Hamuwezi kuwa na kumbukumbu kamili. Hebu tembelea hii link 1993 CAF Cup - WikipediaKombe la Stela limechezwa kitandani hakuna picha wala medali πππ mbumbumbu will always be mbumbumbu, Hakuna timu yoyote Tanzania iliyowahi kucheza fainali CAF tofauti na Yanga.
Acha kudanganywa hiyo Link ya wikipedia mtu yyt anaweza kuandika na kuedit chochoteNdio maana nasema enzi hizo mlikuwa mkinyonya maziwa. Hamuwezi kuwa na kumbukumbu kamili. Hebu tembelea hii link 1993 CAF Cup - Wikipedia
Ndio maana nasema enzi hizo mlikuwa mkinyonya maziwa. Hamuwezi kuwa na kumbukumbu kamili. Hebu tembelea hii link 1993 CAF Cup - Wikipedia
1993 hakukua na mashindano yanayoitwa caf confederationNdio maana nasema enzi hizo mlikuwa mkinyonya maziwa. Hamuwezi kuwa na kumbukumbu kamili. Hebu tembelea hii link 1993 CAF Cup - Wikipedia