Yanga ni mwakambwembwe hawawezi kuwa makarobo

Umeamua kuanzisha league ya mabishano, mimi huko siko. Enzi hizo yaliitwa CAF cup, kwa kiswahili kombe la washindi barani Africa. Kilichofanyika huo mwaka unaosema ni ubatizo tu wa kubadilisha jina na kuyaita kombe la shirikisho, lakini mashindano ni yaleyale. Hutaki acha.
1993 hakukua na mashindano yanayoitwa caf confederation
Yameanza 2004
Ww ulicheza fainali ya kombe gani hiyo 94?
 
Acha kudanganywa hiyo Link ya wikipedia mtu yyt anaweza kuandika na kuedit chochote
Kumbe naongea na vilaza wa soka. Endelea na ubishi wako. Mimi nakuelezea kitu nilichoshuhudia halafu wewe unabisha. Haya endelea na ubishi wako ili ushibishe nafasi yako. Vijana mliozaliwa mwaka 2000 taabu kwelikweli.
 
In 2004, CAF merged the African Cup Winners' Cup created in 1975 with the CAF Cup introduced in 1992 to form a new competition called the Confederation Cup, which has since become the secondary African club competition. Tuanzie hapa, tutajua kama CAF Cup ndio CAF Confederation Cup.
 
Kumbe naongea na vilaza wa soka. Endelea na ubishi wako. Mimi nakuelezea kitu nilichoshuhudia halafu wewe unabisha. Haya endelea na ubishi wako ili ushibishe nafasi yako. Vijana mliozaliwa mwaka 2000 taabu kwelikweli.
Onyesha hiyo medali 😀😀😀 Nimesoma Link yote sijaona neno 5imba 😀
 
Uongo
Narudia tena 93 hakukua na caf confederation cup
Confederation cup ilianzishwa baada ya kuunganisha mashindano mawili tofauti
Hizo habari za kubadilishwa jina unazijua wewe
 

Attachments

  • Screenshot_20250113-111305.png
    251 KB · Views: 4
Kolo anakuambia limebadilishwa jina na kuitwa confederation
 
Maana ya "merged' ndiyo nini. Kwa mfano hayo yaliyokuwa "Merged" hadhi yake ilikuwaje?
 
Alishafika tayari, wakati huo wewe ulikuwa ukinyonya maziwa, hivyo huwezi kwa na kumbukumbu kuhusu Simba na Stella Abdjan.
Lile Kombe la Abiola ndo ulinganishe na hili?
 
Nyie na sie ni tofauti, wewe shirikisho ,club bingwa unaishia robo.
 
Uwongo,kombe la shirikisho mwaka 1993 final ilikua al ahly na african sports, ahly alishinda 3-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…