joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Then ukaishia wapi,mimi nimeingia mara mbili shirikisho nikavuka mpaka fainali na champions nikaishia robo, vip wewe na hizo mara zako zote uliishia wapi?Utofauti ni kwamba Yanga haina rekodi ya kufika robo fainali michuano mara 6 mfululizo ndani ya misimu saba.
Kuishia wapi ndiyo nini wakati rekodi ipo? Kama hujui kila hatua ni rekodi basi wewe utakuwa siyo mwana kabumbu.Then ukaishia wapi,mimi nimeingia mara mbili shirikisho nikavuka mpaka fainali na champions nikaishia robo, vip wewe na hizo mara zako zote uliishia wapi?
Yalivyokuwa merged hadhi ikapanda hivyo simba ilicheza kipande cha hayo mashindano si confederation baada ya kuwa merged.Maana ya "merged' ndiyo nini. Kwa mfano hayo yaliyokuwa "Merged" hadhi yake ilikuwaje?
Duh, pole sana kijana. Umejaza taarifa feki kichwani. Kulikuwa na mashindano ya aina mbili. Moja African Cup of champion clubs (Club bingwa Africa) na CAF cup (Kombe la washindi, kwasasa linaitwa shirikisho). Fainali club bingwa ilikuwa kati ya Zamaleki na Asante Kotoko, mshindi Zamaleki, na fainali ya kombe la washindi ilikuwa kati ya Simba na Stella Abdjan. Ukibisha na hili, basi wewe utakuwa ni Genz wa 2000. Sisi tunawajuza tuliyoyashuhudia na si kusimuliwa, hivyo muache ubishi vijana.Uwongo,kombe la shirikisho mwaka 1993 final ilikua al ahly na african sports, ahly alishinda 3-1
Si mnasema kombe la shirikisho ni la wamamaFika kwanza fainali ya shirikisho halafu ndio uje kujibizana na yanga
Unapiga mayowe tu
😃😃😃 utasikia wanaanza ooh mashindano yalikuwa na hadhi sawa na Confederation cup wakwende hatutaki hadhi sawa fikeni huku kwanzaConfederation cup ilianzishwa 2004
Ww ulifika mwaka gani
Hzo zote sita uliishia wapi? Unaogopa hata kusema. Yaani shirikisho robo,championship robo...... na hii nayo kama kawa robo inawahusu Kolo FC.Kuishia wapi ndiyo nini wakati rekodi ipo? Kama hujui kila hatua ni rekodi basi wewe utakuwa siyo mwana kabumbu.
kama CAF wanatunza hiyo historia ya Simba kufika robo fainali, utopolo ni nani hata tuwasikilize😄😀😀😂😆😃🤣😅Hzo zote sita uliishia wapi? Unaogopa hata kusema. Yaani shirikisho robo,championship robo...... na hii nayo kama kawa robo inawahusu Kolo FC.
Uzuri zote nilizo shiriki na kufika hatua ya fainali kwenye shirikisho na robo kwenye champions, Yanga ndiye aliyekuwa bingwa sasa sijui umemsaidia nani?,labda Azam na ww mwenyewe uliye shika nafasi ya tatu msimu uliopitakama CAF wanatunza hiyo historia ya Simba kufika robo fainali, utopolo ni nani hata tuwasikilize😄😀😀😂😆😃🤣😅
Huko kufika kwa Simba robo fainali mara hizo zote, ndiko kulikosbabisha Tanzania kuingiza timu mbili mbili kwenye mashindano ya CAF.
Nchi gani nyingine Afrika ya mashariki ambayo ina timu mbili mbili kwenye mashindano ya CAF zaidi ya Tanzania?
Kama utopolo mnadhani Tanzania Ina timu mbili mbili kwenye mashindano ya CAF kwa sababu ya nyie kufika fainali ya SHIRIKISHO, mnakuwa mnajizima data.
Sasa hata hili kulielewa ni Jakaya peke yake na Mzee Manara ndiyo wanaweza?Uzuri zote nilizo shiriki na kufika hatua ya fainali kwenye shirikisho na robo kwenye champions, Yanga ndiye aliyekuwa bingwa sasa sijui umemsaidia nani?,labda Azam na ww mwenyewe uliye shika nafasi ya tatu msimu uliopita
Hata hili langu kulielewa ni Aden Rage pekee anayeweza kulielewa.Sasa hata hili kulielewa ni Jakaya peke yake na Mzee Manara ndiyo wanaweza?
Kuna mahali nimesema Simba imeisaidia Yanga? Nilichosema na ndiyo ukweli wenyewe, ni kwamba kitendo cha Simba kufika robo fainali mara nyingi, ndiko kulikosababisha Tanzania kuwa na timu mbili mbili kwenye mashindano ya CAF.
Kabla ya Simba kufika robo fainali mara nyingi, Tanzania ilikuwa ina timu moja moja kwenye mashindano ya CAF.
Hamna rekodi ya kufika fainali mashindano ya CAF.Acha ujinga dogo. Ushabiki maandazi usikufanye kuwa msukule.
Lazima tushinde.Kituo kinachofuata machinjio ya kwa Mkapa
Hopeless fellow. Nisijekuwa naongea na msukule unaobishia fact. Haya enjoy ushindi.Hamna rekodi ya kufika fainali mashindano ya CAF.
...........Mikia jana wameumia sana.
Kulikua na caf winners cup,tukiita kombe la washindi,hilo alilocheza simba final lilikua jipya,likidhaminiwa na abiolaDuh, pole sana kijana. Umejaza taarifa feki kichwani. Kulikuwa na mashindano ya aina mbili. Moja African Cup of champion clubs (Club bingwa Africa) na CAF cup (Kombe la washindi, kwasasa linaitwa shirikisho). Fainali club bingwa ilikuwa kati ya Zamaleki na Asante Kotoko, mshindi Zamaleki, na fainali ya kombe la washindi ilikuwa kati ya Simba na Stella Abdjan. Ukibisha na hili, basi wewe utakuwa ni Genz wa 2000. Sisi tunawajuza tuliyoyashuhudia na si kusimuliwa, hivyo muache ubishi vijana.
Dogo endelea kuwaongopea hapo mtaani kwenu.Hopeless fellow. Nisijekuwa naongea na msukule unaobishia fact. Haya enjoy ushindi.
Link za nini we kolo tunataka mfike fainali sio maelezo.. tunataka kitu kama hikiNdio maana nasema enzi hizo mlikuwa mkinyonya maziwa. Hamuwezi kuwa na kumbukumbu kamili. Hebu tembelea hii link 1993 CAF Cup - Wikipedia
Alete picha kama ya Mbumbumbu tumwongezee bundle la mwezi la kupost ujinga humu.Link za nini we kolo tunataka mfike fainali sio maelezo.. tunataka kitu kama hiki View attachment 3200899