kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ni vizuri atakayekuwa kocha mkuu wa timu akahusika kwa zaidi ya 80% katika kufanya usajili wa wachezaji atakaowatumia kwenye msimu unaofuata. Hii itamfanya awajibike kama wachezaji hao hawataonyesha juhudi kwenye ligi na timu kushindwa kupata matokeo chanya.
Kocha Mkuu kukuta wachezaji ambao hajawapendekeza yeye ni sawa na kuutanguliza mkokoteni mbele ya farasi.
Atakayekuwa kocha Mkuu wa club ya Yanga kwa msimu wa 2020/21 anahusika kikamilifu kwenye kuacha na kusajili wachezaji wapya? Maana kosa letu Yanga kwenye msimu huwa linaanziaga hapo.