Hivi mtu ukiwa Mikia/Bodaboda/Mbumbumbu ni kazi kwelikweli kuelemika Hans Poppe alisema kwenye kituo kimoja cha redio kuwa wao simba uongozi ndio unasajili wachezaji na kwa mbali watamshirikisha kocha akasema ukimwachia majukumu kocha anaweza akasajili rafiki zake na mnawalipa hela kubwa siku timu ikifanya vibaya kocha anafukuzwa anawaachia wachezaji mizigo mliowasainisha mikataba mirefu utaona hoja ya Hans Poppe ina mantiki kwani kamati ya mashindano haiwezi kufanya kazi hiyo angalia kwa mfano Tuisila Kisinda na Tonnombe Mukoko hawakusajiliwa na kocha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.