Yanga ni nani anayesajili wachezaji?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ni vizuri atakayekuwa kocha mkuu wa timu akahusika kwa zaidi ya 80% katika kufanya usajili wa wachezaji atakaowatumia kwenye msimu unaofuata. Hii itamfanya awajibike kama wachezaji hao hawataonyesha juhudi kwenye ligi na timu kushindwa kupata matokeo chanya.

Kocha Mkuu kukuta wachezaji ambao hajawapendekeza yeye ni sawa na kuutanguliza mkokoteni mbele ya farasi.

Atakayekuwa kocha Mkuu wa club ya Yanga kwa msimu wa 2020/21 anahusika kikamilifu kwenye kuacha na kusajili wachezaji wapya? Maana kosa letu Yanga kwenye msimu huwa linaanziaga hapo.
 
Wakifanya hivi itakuwa vigumu kumhusisha kocha na matokeo mabaya ya club kwenye mashindano. Mashabiki walikuwa wanamuonea bure Eymael kumpanga Yipe
Na hilo haliwezekani
Ikitokea Kufungwa mzigo ni Kocha
 
wanasaidiwa na GSM.
Sasa sijajua hao wachezaji walipendekezwa na kocha,Gsm,au viongozi wa yanga.
Ngoja tuone mwisho wao.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
wanasaidiwa na GSM.
Sasa sijajua hao wachezaji walipendekezwa na kocha,Gsm,au viongozi wa yanga.
Ngoja tuone mwisho wao.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
hivi siku GSM wakijitoa kama walivyotaka kufanya kipindi fulani,nani atalipa hao wachezaji. wachezaji wa kigeni nao wawe wanaelewa vizuri legal stutus na financial capacity ya kampuni ili kujua employment risks zikoje
 
Prof. Msolla sijui anakwama wapi
 
Yanga ni kikundi fulani cha kutoa burudani mbali mbali kwa wanakijiji wanaozunguka msitu huo.

Tafakari mada hii kupitia kitabu kiitwacho Luc Eymael
 
Eymael angeachaje kumpanga mchezaji wa kigeni Kama Yipe uwanjani? Kweli Eymail wamemuonea mashabiki, badala ya kurusha makopo kwa Msolla na GSM wanarusha kwa kocha.
 
Wakifanya hivi itakuwa vigumu kumhusisha kocha na matokeo mabaya ya club kwenye mashindano. Mashabiki walikuwa wanamuonea bure Eymael kumpanga Yipe
Eymael aliwapaga list ya wachezaji anaowataka, ndo hao wanaowasajili
 
hivi siku GSM wakijitoa kama walivyotaka kufanya kipindi fulani,nani atalipa hao wachezaji. wachezaji wa kigeni nao wawe wanaelewa vizuri legal stutus na financial capacity ya kampuni ili kujua employment risks zikoje
Hii inaapply hata kwa simba, MO akijitoa tu kama alivyotakaga kufanya kwishney
 
Sorry, hivi wale wahindi a.k.a Wabrazil walipendekezwa na kocha gani pale mkiani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…