Yanga ni nani anayesajili wachezaji?

Uongozi wa timu yangu nadhani wanakula msuba wote, mbona wanafanya mambo kiswahili sana pamoja na kuahidi mabadiliko?
 
Utopolo wameshajijatia tamaa wao lengo lao ni kubaki ligi kuu tu basi.
 
Eymael aliwapaga list ya wachezaji anaowataka, ndo hao wanaowasajili
kama ni hivyo matumizi ya hao wachezaji uwanjani yeye ndiye ambaye anayajuwa, sio kocha mwingine. Wako mafundi ujenzi wanaojuwa kujengea yale mawe yaliyoachwa na mafundi washi wengine. Jicho la eymael kwa mchezaji nitofauti na jicho la Aussems kwa mchezaji huyohuyo. Na huo ndio utakuwa mwanzo wa ugomvi kati ya kocha ajae na viongozi wa club waliowasajili wachezaji pale kocha atakapoacha kumpanga mchezaji
 
Msijitie ujuaji, hata ukiajili kocha mkuu sasa hivi hiyo scouting atafanya saa ngapi? Ligi imeisha tathmini ndiyo inayofanyiwa kazi! Usisahau Msolla naye ni kocha professionally!
Hiyo haitoshi kuwa hoja ya msingi kwenye hili, kwani timu haina kocha mkuu kipindi kama hiki ni swali linalopaswa kujibiwa na Msolla pia. Msolla kumsajilia wachezaji kocha anayekuja kutakuwa na mgogoro wa conflict of interest ya Msolla kwa kocha ajae na wachezaji, pale kocha ajaye atakaposhindwa kuwatumia baadhi ya wachezaji wa Msolla.
 
Shida ya Yanga sio kwenye kusajili wachezaji, Bali kwenye kumsajili kocha.
Nawashauri Yanga sajilini Wachezaji mnaowaona wanafaa ila pia mtafute kocha anayeijua falsafa ya timu kama Mkwasa.
 
alishawaambia kuwa 20b zinatosha kuanzisha bank
 
Shida ya Yanga sio kwenye kusajili wachezaji, Bali kwenye kumsajili kocha.
Nawashauri Yanga sajilini Wachezaji mnaowaona wanafaa ila pia mtafute kocha anayeijua falsafa ya timu kama Mkwasa.
Mkwasa ni kocha mzuri lakini ana hasira za hovyo, hivyo ni kocha mzuri kwa wachezaji wenye njaa tu basi.
 
ukitaka uone MO ni nani wacha Simba otolewe tena mechi ya kwanza tu ya club bingwa. Tuombe Mungu ile pilizapuliza ya kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ikomeshwe.
 
Kocha ambaye hajaona ligi yetu bado hataweza kuchagua wachezaji wazuri. Kwavile hajapatikana na muda unaenda wacha tu wamsajilie. Mchezaji mzuri ni mzuri tu hata kwa kocha yupi, mifumo ya uchezaji tu ndo inawapaga shida kidogo lakini baadae mambo yanakuwa mazuri tu. Si unaona pale msimbazi kishingo anapeta tu wakati kawakuta wachezaji wote. Kinachowasaidia waliweza kusajili wachezaji wazuri ndo maana wanafundishika kirahisi. Sasa hawa kina Yirpe, Molinga, Tariq hata ufundisheje ndo uwezo wao ulipoishia hapo, teh!
 
Ishu ya simba kupeta ziko factors nyingi zikiwemo za marefa, ratiba na |"pulizapuliza" ya kwenye vyumba. Lakini Yanga haikutakiwa kuhamaki kiasi kile kwa matamshi ya Luc. Angeweza kupewa tu adhabu za kimpirampira ili ajutie kosa lake kwakuwa hakuvunja sheria yoyote ya nchi. Viongozi walitakiwa kujua kuwa muda wa usajili ulikuwa umekaribia kabla ya kuwafukuza makocha. Viongozi wa Timu kuwa na taaluma ya ukocha ndio sehemu ya tatizo Yanga, hata Zahera alishawahi kulalamika kuhusu hili.

Hata akina Balinya, Molinga, Bigrimana, Yikpe, shikalo, sebonama, nk hawakuwa wabaya wakati wanasajiliwa lakini Mkwasa na Eymail walishindwa kuwatumia na kuleta matokeo
 
Mashabiki wa yanga hawakuridhika na kiwango cha Eymael, so lilikuwa suala la muda tu kuondoka pale. Kifupi alivitoa tu matusi ndo kawasaidia kumuondoa mapema
 
Mashabiki wa yanga hawakuridhika na kiwango cha Eymael, so lilikuwa suala la muda tu kuondoka pale. Kifupi alivitoa tu matusi ndo kawasaidia kumuondoa mapema
mbona alivyokuja walisema ni kocha wa mataji. Robo msimu huwezi kujua kocha ni mzuri au ni mbaya
 
mbona alivyokuja walisema ni kocha wa mataji. Robo msimu huwezi kujua kocha ni mzuri au ni mbaya
Mmh kocha wa mataji bila kikosi imara. Wenye akili tulijua hizi mbwembwe tu
 
Mmh kocha wa mataji bila kikosi imara. Wenye akili tulijua hizi mbwembwe tu
Hela ile ya GSM wangempatia zahera angepata matokeo kwa wachezaji haohao inaowafukuza leo. Shida kubwa pale hata kwa kocha atakaeletwa ni Msolla na Mkwasa kuwa na taaluma ya ukocha pia. Wanaingilia falsafa/philosophy ya kocha mgeni.
 
Hela ile ya GSM wangempatia zahera angepata matokeo kwa wachezaji haohao inaowafukuza leo. Shida kubwa pale hata kwa kocha atakaeletwa ni Msolla na Mkwasa kuwa na taaluma ya ukocha pia. Wanaingilia falsafa/philosophy ya kocha mgeni.
Mmh hapana, shida kubwa pale ni wachezaji, hawakuwa na viwango vya kuchezea yanga. Tukiacha ushabiki simba ana kikosi bora, ndo maana kila kocha anayeletwa anapata matokeo. Kocha huyo huyo ukimwamishia yanga kuwakochi kina Yipe, Molinga, Tariq n.k anachemsha mbaya.

Zahera alipewa hela usajili akaleta magarasa tupu, na timu ikaanza kwa kichapo licha ya matumaini kibao aliyowapa washabiki. Usisahau kuwa kile kikosi alichokuwa anapata matokeo (cha kina Makambo) hakikuwa chake, wale wachezaji aliwakuta wote
 
Wachezaji wengi wanaoachwa Wana viwango kuliko wanaosajiliwa. Sema tu walikuwa wanasugulishwa benchi ndo Mana viwango vimeshuka,

Hivii Yanga Ni wakumfukuza ngassa kwa namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…