Yanga ni Tasaf au NSSF kwa wachezaji wa Simba?

Yanga ni Tasaf au NSSF kwa wachezaji wa Simba?

Sisi kama vyura tunasema,kila mchezaji anayesajiliwa Simba hawezi kupata namba kikosi cha kwanza na hata sub hakai.Ila,kila mkisajili tu,tunasubiri kuwarubuni waje utopoloni.Pata jibu.
 
Pamoja na kupokea wazee na kuwa nao kwenye timu yetu lakini bado tumeendelea "kuwafirimba" mbumbumbu kwa mara 4 mfululizo tukiwa na wazee wao wakiwa na vijana wao..

Najivunia kuwa YANGA
 
Hayo makombe yana kazi gani?kama tokea Dunia iumbwe yanga haijawahi kuingia kwenye top ten za CAF za timu kubwa na bora barani Afrika au vigogo wa bara la afrika..ni sawa tu na makombe ya mbuzi
Wewe uliyeingia umeleta makombe mangapi? Yani mbumbumbu ni sawa na mwanafunzi aliyeferi form six anaesabika ana elimu ya form four tu,,hizo rank ata tp mazembe alikusanya point za kutosha miaka iyo lakini unaweza kulinganisha ubora wake na pyramid ya misri? Au Simba iliyopo nafasi ya Tano Ina ubora kuliko pyramid ambayo imebeba kombe la klabu bingwa na aipo kwenye top 5? Tumia akili na sio tumbo kufikiria?
 
Ni Taasisi ya wazee na vikongwe waliochoka kuitumikia Simba...
Imajini miaka 11 lazima mtu astaafu...
 
Back
Top Bottom