Yanga ni Tasaf au NSSF kwa wachezaji wa Simba?

Hayo makombe yana kazi gani?kama tokea Dunia iumbwe yanga haijawahi kuingia kwenye top ten za CAF za timu kubwa na bora barani Afrika au vigogo wa bara la afrika..ni sawa tu na makombe ya mbuzi
Subiri kufilimbwa mara ya sita we kolo
 
Simba hana kombe lolote msimu huu ila kavuta mkwanja mrefu kuliko yanga aliyechukua makombe 100 msimu huu.
Amevuta mkwanja ambao yanga ajavuta kwenye michuano Gani labda tuambie? Tutajie aliyefika makundi klabu bingwa alivuta shingapi na aliyefika fainali shirikisho alivuta kiasi Gani, na pia msimu juzi yanga alivyofika fainali shirikisho alivuta kiasi Gani
 
As long as Wazee wanaokwenda Yanga wanaleta matokeo, au unafikiri Malengo ya club ya mpira ni Nini? Kula ujana au matokeo?
 
Ujana unaliwa Simba uzee unaliwa Yanga kuvuta penshen
Hii ni Tasaf au NSSF?
As long as makombe yanakuja na mpira mwingi wanaupiga na makolo yanawekwa kila kukicha sisi wananchi tunasema na WAKARIBISHWE.
 
Ujana unaliwa Simba uzee unaliwa Yanga kuvuta penshen
Hii ni Tasaf au NSSF?
Shemeji anakuita ukaoge kisha ule. Jana shemeji yako kamshtakia mmewe kwamba wewe ni mvivu sana wa kula. Yani unakula kidogo tu unaenda kulala.
Anaogopa utakonda!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mm yanga damu ila nimecheka eti TASAF
 
Shemeji anakuita ukaoge kisha ule. Jana shemeji yako kamshtakia mmewe kwamba wewe ni mvivu sana wa kula. Yani unakula kidogo tu unaenda kulala.
Anaogopa utakonda!
Kumbe
 
Simba kuingia fainali shirikisho kapewa dola 1m wakati yanga kuishia makundi kapewa dola 750,000
Nafikiri umeona nani kavuta parefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…