Vyovyote kikubwa watu wapewe elimu waache kuamini upuuzi upuuzi wa vijiweniAswaa KWA wanawake kama wewe
Kwanini mkuu [emoji28]Jamii forum wawape seminar ya kuwajengea uwezo wa kufikiiri watumiaji wake
Jambo dogo tu la kutumia ufahamu wa kawaida mtu ataitafutia sababu ya kijinga then anapresentKwanini mkuu [emoji28]
Kama Alex Song wa Arsenal alikuja kucheza hadi Eritrea, vingine hutashangaa.Mrisho Ngasa alicheza hadi Ndanda
Kusaini kuchezea yanga ni kukubali kufika mwisho wa career yako ama ukubali kustaafia yanga.Katoka AS vitta katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba,wanemtupia virago,wanadai uwezo wake ndogo,huyo ni Djuma Shaban,hana timu ya kucheza kwa sasa.
Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja
Majini is real
Maisha ni kokote,Mayele Yuko wapi,lomalisa je? Tusijenge hofu kwa kufeli kwa wachezaji wawili tuKatoka AS vitta katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba,wanemtupia virago,wanadai uwezo wake ndogo,huyo ni Djuma Shaban,hana timu ya kucheza kwa sasa.
Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja
Majini is real
Akina Nonda Shaaban waliondoka Yanga na wakaendelea kufanya vizuri kabisa. Huyu Shaaban Dyuma akiwa Yanga tayari alikuwa na kitambi, mpira ulikuwa unaenda ukingoni.Kusaini kuchezea yanga ni kukubali kufika mwisho wa career yako ama ukubali kustaafia yanga.
Huwezi kutoka yanga ukiwa kwenye kiwango kuzuri na wakakuacha salama.
Wana mfumo wa ki iluminat,unatupiwa majini na kufanyiwa kila aina ya fitna.
Utapambana sana kurudi kwenye kiwango,hadi ukawapigie magoti washenzi wale
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kagere alitokea timu gani?? Onyango, Ajibu, kichuya??Kusaini kuchezea yanga ni kukubali kufika mwisho wa career yako ama ukubali kustaafia yanga.
Huwezi kutoka yanga ukiwa kwenye kiwango kuzuri na wakakuacha salama.
Wana mfumo wa ki iluminat,unatupiwa majini na kufanyiwa kila aina ya fitna.
Utapambana sana kurudi kwenye kiwango,hadi ukawapigie magoti washenzi wale
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana sana na wewe, Fei na Mayele ni mfano sahihi.Kusaini kuchezea yanga ni kukubali kufika mwisho wa career yako ama ukubali kustaafia yanga.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ndemla hana uwezo jamani. Mbona alikuwa wakawaida hata kipindi yupo mikia. Namba hakuwa akipataHuyo Bernard Morrison alienda Far Rabat nadhani ni mapenzi yake kuamua kurudi TZ, Hujamtaja Lomalisa aliyepo Sagrada Esparanca, Moloko yupo Iraq
Kumbukumbu zangu zinaniambia Ndemla aliwahi kupata timu Sweden alipigwa wenge moja matata na sasa yupo JKT
Kipindi kile alikua bado kinda hivyo ile timu iliamini anaweza kuja kufanya vizuri ila hakupata tu nafasi ya kucheza.Ndemla hana uwezo jamani. Mbona alikuwa wakawaida hata kipindi yupo mikia. Namba hakuwa akipata
Hao wote wazee lakini mnataka kujisifu kwa ulozi🚮🚮🚮Katoka AS vitta katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba,wanemtupia virago,wanadai uwezo wake ndogo,huyo ni Djuma Shaban,hana timu ya kucheza kwa sasa.
Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja
Majini is real