Sijui ni kwanini Mashabiki wa Simba wqnaamini sana katika Mambo ya giza. Matukio mengi ya kichawi yamekuwa yakiihusisha sana Simba, kama kipindi kile kule South Africa wakiwa uwanjani wakafanya ushirikina LIVE. Na hata mind zao zinawaza tu Majini, Uchawi, ndumba nk.
Hata huyu mtoa post (Mdukuzi) content yake inamtambulisha namna anavyoyaendekeza hayo mambo
Hata huyu mtoa post (Mdukuzi) content yake inamtambulisha namna anavyoyaendekeza hayo mambo