Kaseja , OKWI, KAGERE, onyangoKagere alitokea timu gani?? Onyango, Ajibu, kichuya??
Aubin Kramo hakucheza kabisa Simba kwa sababu aliposajiliwa wazee wa yanga waliambiwa huyu ataifanya Simba kuwa ya hatari,wazee wakammaliza mapema kabisa.Peter Banda, Duncan Nyoni, Aubin Kramo, Said Ntibanzonkiza, Beno Kakolanya, Israel Mwenda, Ajib, Gadiel Michael e.t.c
#nikae kimya tu
Yanga ndio mnaongoza kwa uchawi.Sijui ni kwanini Mashabiki wa Simba wqnaamini sana katika Mambo ya giza. Matukio mengi ya kichawi yamekuwa yakiihusisha sana Simba, kama kipindi kile kule South Africa wakiwa uwanjani wakafanya ushirikina LIVE. Na hata mind zao zinawaza tu Majini, Uchawi, ndumba nk.
Hata huyu mtoa post (Mdukuzi) content yake inamtambulisha namna anavyoyaendekeza hayo mambo
Mayele ndio alitufumbua machoSijui ni kwanini Mashabiki wa Simba wqnaamini sana katika Mambo ya giza. Matukio mengi ya kichawi yamekuwa yakiihusisha sana Simba, kama kipindi kile kule South Africa wakiwa uwanjani wakafanya ushirikina LIVE. Na hata mind zao zinawaza tu Majini, Uchawi, ndumba nk.
Hata huyu mtoa post (Mdukuzi) content yake inamtambulisha namna anavyoyaendekeza hayo mambo
naunga mkono hojaJamii forum wawape seminar ya kuwajengea uwezo wa kufikiiri watumiaji wake