Yanga ni timu ya kustaafisha wachezaji

Wewe Bi.Mdogo umeanza kushabikia Mpira majuzi kisa Mdangaji mwenzio Mama J kukuleta hapa JF usijione unajua sana kuliko Mabasha zako tulia. Tafuta rika lako utatobolewa kizazi.
Sawa bi mkubwa
 
Hawawezi kukuelewa...toka Simba iachane na wazee sijui nini..wanapigwa mno na hawa vyura..ndo maana timu inaonekana inajikongoja...majini yanavunja vunja wanakosa speed... [emoji23] [emoji23]
Wewe dada inaokena unahusudu ushirikina tangu hili swala la majini liibuke naona una enjoy sana
 
Store keeper wa majini
Acha mboyoyo Yanga tuna Msuva (Wydad) Kisinda na Fiston wamechukua kombe la loser wakiwa na Berkane, Nonda Shabani nitaje wachezaji wawili tu wa huko kwenu waliofika hata nusu fainali kombe la loser au ubingwa nje ya Tanzania
 
Acha mboyoyo Yanga tuna Msuva (Wydad) Kisinda na Fiston wamechukua kombe la loser wakiwa na Berkane, Nonda Shabani nitaje wachezaji wawili tu wa huko kwenu waliofika hata nusu fainali kombe la loser au ubingwa nje ya Tanzania
Hilo ulishaita la loser sidhani kama lina hadhi yeyote ya kufanya utambe.

Nitajie mchezaji wenu aliyefika robo fainali Club Bingwa

Unaruhusiwa kutaja hata former players wa msimu uliopita.

Hilo najua litakuwa gumu kwako.

Nitajie mchezaji wenu yeyote ambaye amewahi kufika level ya makundi Club Bingwa (ukiacha hii ya juzi)
 
Mlivyosikia utani wa jadi mlizani ni kidude gani ?

Jadi ndio hizo sasa majini, misukule ,vizuka n.k.
 
Acheni kufuga majini kwanza. Halafu njoo tuongee mpira.

Litimu linaongozwa na uchawi wa mzee Mpili.
 
Umemjibu vyema huyo
Mbumbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stupid at your best
 
Msuva akiwa Wydad timu ilifika final wakakuchua ubingwa tena akiwa top scorer, aliondoka wakiwa semi finals, ukitoka Samatta mchezaji gani asha fanikiwa nje ya Simba? nijibu kwanza tusifanye mambo yawe mengi , hilo kombe la shirikisho mnalo lidharau mnalo?
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wewe dada inaokena unahusudu ushirikina tangu hili swala la majini liibuke naona una enjoy sana
Majini Fc
Majini Fc
Majini FC
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸
Ikikuuma pita kando...nyie mlivyoshadadia 5...1 msinipangie cha kufurahia...
 
Aden Rage ajengewe sanamu maana huko Makolokolo wote ni Mbumbumbu [emoji1]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Majini Fc....
Majini Fc
πŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸΈ
Ikikuuma tafuta cha kukufurahisha
 
Dawa ya moto ni moto , Kama mnaamini Yanga kuna Majini na nyie fugeni yenu , vinginevyo mtaishia kulalamika tu.

Ukiona mtu analalamika kwa kuupa uzushi nguvu na hafanyi chochote jua maji yapo shingoni[emoji23].
 
Majini Fc
Majini Fc
Majini FC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Ikikuuma pita kando...nyie mlivyoshadadia 5...1 msinipangie cha kufurahia...
Mimi Simba damu ila ukweli usemwe una husudu ushirikina shemeji yangu ajipange huko aliko
 
Mimi Simba damu ila ukweli usemwe una husudu ushirikina shemeji yangu ajipange huko aliko
Kumbe ww mnyama? Basi kaa kwa kutulia...hapa nitaandika majini fc mpk mwakani...ndo kwaanza feb...
Ukipata upenyo utumie...mbona wao waliandika mpk mabango ya 5 kwa 1...ww niache waza uwazavyo siko hapa kukuprove chochote...kuhusu shemeji yako utampigia ujue hali yake...
 
Wanasimba mlichobakiza ni mikia Tu,akili mumempa mo atengenezee juice....haya mayele kawapa kombe lenu. Msilalamike msimu ukiisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…