Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo sijui huwa mnafeli wapi??Msuva akiwa Wydad timu ilifika final wakakuchua ubingwa tena akiwa top scorer, aliondoka wakiwa semi finals, ukitoka Samatta mchezaji gani asha fanikiwa nje ya Simba? nijibu kwanza tusifanye mambo yawe mengi , hilo kombe la shirikisho mnalo lidharau mnalo?
[emoji1666][emoji1666]Kumbe ww mnyama? Basi kaa kwa kutulia...hapa nitaandika majini fc mpk mwakani...ndo kwaanza feb...
Ukipata upenyo utumie...mbona wao waliandika mpk mabango ya 5 kwa 1...ww niache waza uwazavyo siko hapa kukuprove chochote...kuhusu shemeji yako utampigia ujue hali yake...
Hahahahaha..hizi ndio mada zinazoonesha ubora na uwezo wa mtanzaniaHakuna cha ulozi wa CAF wala nini ile ilikua ibada na waliambiwa hivyo ila wao kwa uoga wao wakasema ni ibada inayotishia...
Hapa tunachosema Majini yenu yana haribu soka...
Hahahahaha...ngoja nione watanzania wakiwa ktk ubora waoUtopolo sijui huwa mnafeli wapi??
Yani we unatoa mfano mmoja kwa mchezaji ambaye amepata mafanikio nje ya Yanga halafu unakuja kutaja mchezaji mmoja wa Simba aliyepata mafanikio na kusema kama kuna mwingine zaidi ya huyo nikutajie, wakati wewe umeshindwa kumtaja mwingine zaidi ya Msuva.....
Hoja ni kwamba timu yenu haina mchezaji ambaye ni Caf Champion material kwenye level za kuanzia makundi na kuendelea.
Kama mchezaji huyo yupo naomba unitajie.
Nimekupa room ya kuchagua kuanzia misimu miwili nyuma nitajie nani ambaye mlimsajili akiwa na rekodi ya kufika makundi Club Bingwa. Umeshindwa
Mi nakupa jibu
Mchezaji mliyenaye mwenye mafanikio ya kuanzia hatua ya makundi Club Bingwa ni Mkude peke yake ambaye wote tunajua ametokea wapi.
Mkuu usitumie nguvu kuwajibu hawa madundukafei toto amestaafu?,msuva?kaseke mbona wote wanac heza mpira mzuri tu,hizo nyengine ni imani.
Sawa Jini mkuu tumekusikiaAden Rage ajengewe sanamu maana huko Makolokolo wote ni Mbumbumbu [emoji1]
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Simba 1- Majini 5Mimi Simba damu ila ukweli usemwe una husudu ushirikina shemeji yangu ajipange huko aliko
Sawa jini msaidiziWanasimba mlichobakiza ni mikia Tu,akili mumempa mo atengenezee juice....haya mayele kawapa kombe lenu. Msilalamike msimu ukiisha.
Naona nahangaika na mtu mwenye udumavu wa akili.. byeUtopolo sijui huwa mnafeli wapi??
Yani we unatoa mfano mmoja kwa mchezaji ambaye amepata mafanikio nje ya Yanga halafu unakuja kutaja mchezaji mmoja wa Simba aliyepata mafanikio na kusema kama kuna mwingine zaidi ya huyo nikutajie, wakati wewe umeshindwa kumtaja mwingine zaidi ya Msuva.....
Hoja ni kwamba timu yenu haina mchezaji ambaye ni Caf Champion material kwenye level za kuanzia makundi na kuendelea.
Kama mchezaji huyo yupo naomba unitajie.
Nimekupa room ya kuchagua kuanzia misimu miwili nyuma nitajie nani ambaye mlimsajili akiwa na rekodi ya kufika makundi Club Bingwa. Umeshindwa
Mi nakupa jibu
Mchezaji mliyenaye mwenye mafanikio ya kuanzia hatua ya makundi Club Bingwa ni Mkude peke yake ambaye wote tunajua ametokea wapi.
Sema tu umeshindwa kujibu hoja baada ya jini kupandaNaona nahangaika na mtu mwenye udumavu wa akili.. bye
Nme mwambia anitajie wachezaji wawili tu waliotoka Simba wakafanikiwa analeta ngojera mimi mnemtajia wanne Msuva, Fiston Abdulrazak na Nonda Shabani ukumuita mbumbumbu anachukiaHahahahaha...ngoja nione watanzania wakiwa ktk ubora wao
Sawa mbeba majiniMkuu usitumie nguvu kuwajibu hawa madunduka
Achana nao
Hoja gani hapo? niambie mchezaji gani asha fanikiwa baada ya kutoka Simba tofauti na Samatta
Ibada ya dini gani au kabila gani?Hakuna cha ulozi wa CAF wala nini ile ilikua ibada na waliambiwa hivyo ila wao kwa uoga wao wakasema ni ibada inayotishia...
Hapa tunachosema Majini yenu yana haribu soka...
Samata,we mlete wako ila siyo Msuva ,maana kufanikiwa kwa mchezaji ni kucheza timu kubwa za Ulaya,na siyo daraja la kwanza uarabuni na ligi za AfricaHoja gani hapo? niambie mchezaji gani asha fanikiwa baada ya kutoka Simba tofauti na Samatta
Hahahahaha...mbumbumbu humu wako wengi mno ..soma humu uone wanavyosapotiana umbumbumbu waoNme mwambia anitajie wachezaji wawili tu waliotoka Simba wakafanikiwa analeta ngojera mimi mnemtajia wanne Msuva, Fiston Abdulrazak na Nonda Shabani ukumuita mbumbumbu anachukia
Tunajichetua tuu...hizi timu zitatufanya wehu...ukipata upenyo unamtania mtani mpk anaomba poo 😂 😂 😂Hahahahaha..hizi ndio mada zinazoonesha ubora na uwezo wa mtanzania
Hahahahaha...naonaTunajichetua tuu...hizi timu zitatufanya wehu...ukipata upenyo unamtania mtani mpk anaomba poo 😂 😂 😂