Mafanikio ya mtu mmoja aliyejenga ghorofa hayawezi kufananishwa na mafanikio ya watu 10 waliojenga magenge.
Wewe una 3 mimi nina 1.
Swali nani mwenye nyingi?
Well hiyo inategemeana
Mwenye 3 ndio mwenye nyingi lakini vipi kama mwenye hizo 3 ni summation ya properties hizi hapa
1. Spacio
View attachment 2904881
2. Alteza
View attachment 2904882
3. IST
View attachment 2904886
Thamani ya properties zote 3 ni katika high maximum estimation ni jumla ya dola 1500
Halafu yule mwenye 1 ana Ferrari Daytona SP3 ambayo thamani yake ni dola milion 2
View attachment 2904879
Sasa hapo utaona mwenye 3 si lolote mbele ya mwenye 1
Hiyo ndio definition ya kwamba sometimes number zinaongopa. Wingi si kitu bali value ya kitu ndio inayo determine.
Mafanikio ya watu 10 kubeba loser cup hayawezi kuwa na thamani sawa na mafanikio ya Samatta kucheza EPL
Hata muwe na wachezaji 50 waliochukua loser bado hawawezi kuwa na value ya mchezaji mmoja aliyecheza ligi ya EPL na akatupia goli dhidi ya Man city