Yanga ni timu ya kustaafisha wachezaji

Nyie Ng'ang'anieni Kwenye Kuzungumzia Majini Yetu Hadi Mnasahau Timu Yenu.

Leo Mnacheza Na JKT Nawatakia Mema Mkapate Sare Maana Mngepoteza Kabisa Bila Majini Yetu
 
Semaji la majini likiongelea majini
 

Attachments

  • SportsarenatzTz_20240213__1757397002285941156_1_17573969338264780800.mp4
    1 MB
Ungeuliza mnyama wa aina gani

Maana hata chura naye mnyama pia
 
Tunajichetua tuu...hizi timu zitatufanya wehu...ukipata upenyo unamtania mtani mpk anaomba poo 😂 😂 😂
Ila rafiki kuna muda huwa mnachemka sana yaani sana..mpk mtu unahisi huyu mleta mada ana akili timamu ? Cha kushangaza utaona maoni nayo ni vile vile...na hii si ktk mpira tu hata kule ktk siasa
 
😂😂😂😂😂

Tangu enzi za kina Tabu Mangara kabla hajaanzisha Pan Africans, hao jamaa ni hatari Kwa kurushiana majini.

Muulize johnthebaptist anajua.
Mechi ya Derby inayokuja naenda na biblia uwanjani huku nasali,maana hawa ni mashetani wanarusha majini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kukuelewa...toka Simba iachane na wazee sijui nini..wanapigwa mno na hawa vyura..ndo maana timu inaonekana inajikongoja...majini yanavunja vunja wanakosa speed... 😂 😂
Ni Kawaida Mchawi aliyeroga kulia zaidi msibani. Ndiyo ninachokiona katika hili la Mayele, Wachawi wake mdiyo wapo mstari wa mbele wakimsindikiza Mganga kwenda kutafuta wachawi.
 
Hoja gani hapo? niambie mchezaji gani asha fanikiwa baada ya kutoka Simba tofauti na Samatta
Mafanikio ya mtu mmoja aliyejenga ghorofa hayawezi kufananishwa na mafanikio ya watu 10 waliojenga magenge.

Wewe una 3 mimi nina 1.

Swali nani mwenye nyingi?

Well hiyo inategemeana

Mwenye 3 ndio mwenye nyingi lakini vipi kama mwenye hizo 3 ni summation ya properties hizi hapa

1. Spacio



2. Alteza


3. IST


Thamani ya properties zote 3 ni katika high maximum estimation ni jumla ya dola 1500


Halafu yule mwenye 1 ana Ferrari Daytona SP3 ambayo thamani yake ni dola milion 2


Sasa hapo utaona mwenye 3 si lolote mbele ya mwenye 1

Hiyo ndio definition ya kwamba sometimes number zinaongopa. Wingi si kitu bali value ya kitu ndio inayo determine.


Mafanikio ya watu 10 kubeba loser cup hayawezi kuwa na thamani sawa na mafanikio ya Samatta kucheza EPL

Hata muwe na wachezaji 50 waliochukua loser bado hawawezi kuwa na value ya mchezaji mmoja aliyecheza ligi ya EPL na akatupia goli dhidi ya Man city
 
Vipi Nonda Shabani aliyefunguliwa Dunia ya Soka na Yanga kwenda kucheza fainali ya UEFA champion league ukifananisha na thamani ya Samata!!!
 
Samahani naomba nikutukane wewe ni ma**o, mafanikio ya Nonda Shabani unaweza kuyalinganisha na Samatta?
 
Vipi Nonda Shabani aliyefunguliwa Dunia ya Soka na Yanga kwenda kucheza fainali ya UEFA champion league ukifananisha na thamani ya Samata!!!
Hizi ndio rekodi za Shabni Nonda kwenye usajili

 
Samahani naomba nikutukane wewe ni ma**o, mafanikio ya Nonda Shabani unaweza kuyalinganisha na Samatta?
Shabani Nonda aliichezea Yanga ipi?

Transfer history hii hapa inayoonesha timu zote alizopita

Nioneshe Yanga



Ukishindwa mimi nitakupa sababu kwanini Yanga hapo haipo na nyinyi mnasema aliwahi kucheza Yanga
 
Ndugu mbumbumbu nenda wikipedia usisumbue watu, kama na la Nonda kucheza Yanga ulikua hujazaliwa basi hakuna namna.
 
Shabani Nonda aliichezea Yanga ipi?

Transfer history hii hapa inayoonesha timu zote alizopita

Nioneshe Yanga

View attachment 2904942

Ukishindwa mimi nitakupa sababu kwanini Yanga hapo haipo na nyinyi mnasema aliwahi kucheza Yanga
Hawakuwezi hata waje utopolo yote..
Uzuri unatumia akili kubwa..una data...una exposure ya football
 
Nafikiri umeingia period sio kwa hasira hizi wewe mama
 
MPAKA MSEME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…