Mtanange huu unapigwa kmc complex na uwanja unaonekana umependeza mashabiki wa kutosha mda si mrefu game inaanza
Kwa Sasa napata uchambuzi uliotukuka kutoka kwa salama ngale(nguli)
Itabidi nione mechi ndio nijue inakuwaje maana Yanga huwa ni mteja mzuri wa Simba kwenye hii category
Sema mpira umebadilika ila ningependa kuona huu upande wanatawala wasichana wa kitanzanzania maana wako wengi sana sijajua shida Nini hadi kwenda kununua wageni