Yanga Princess vs Simba Queens / Ngao ya Jamii /2-10-2024

Yanga Princess vs Simba Queens / Ngao ya Jamii /2-10-2024

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Mtanange huu unapigwa kmc complex na uwanja unaonekana umependeza mashabiki wa kutosha mda si mrefu game inaanza
Kwa Sasa napata uchambuzi uliotukuka kutoka kwa salama ngale(nguli)
Itabidi nione mechi ndio nijue inakuwaje maana Yanga huwa ni mteja mzuri wa Simba kwenye hii category

Snapinsta.app_461731617_18466719193047601_419568066542100053_n_1080.jpg

Snapinsta.app_461976633_18466736068047601_554493933060767505_n_1080.jpg
 
Sema mpira umebadilika ila ningependa kuona huu upande wanatawala wasichana wa kitanzanzania maana wako wengi sana sijajua shida Nini hadi kwenda kununua wageni
 
Yanga Princess wanaongoza goli 1 Agnes palangyo kaweka
 
Wanaofundisha wanawake wapewe heshima sana maana decision making wakiwa na mpira unaweza kuvunja Kila kilichokaribu yako
 
Number 9 wa Yanga yuko vizuri akipata wa kumlisha mipira atafunga sana
 
Simba Queen bado wana timu nzuri sana. Ina wachezaji wenye ukomavu sana.
Uko sahihi hata wakishinda sishangai team Yao Inatengeneza uchezaji unaoeleweka na Precious mtu sana
 
Back
Top Bottom