Yanga ridhikeni na pointi 3, timu zote zimesajili kupunguza kufungwa na Yanga magoli mengi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.

Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3.
 
Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu na kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.

Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3
ukweli mtupu
 
ukweli mtupu
Maneno na kaulimbiu ya msemaji kama vile "kufosi" na nini ni kuongeza pressure mashabiki na wachezaji bila sababu za msingi. Simba ni kati ya timu ambazo usajili wake ulizingatia zile 7-2 za msimu uliopita, ndio maana bado wanafanya msajili mpaka sasa kuhofia kile cha msimu uliopita.
 
Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.

Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3
Na Yanga ikifunga goli nyingi, mnasema imenunua Mechi. Waafrika tuna changamoto sana.
 
Maneno na kaulimbiu ya msemaji kama vile "kufosi" na nini ni kuongeza pressure mashabiki na wachezaji bila sababu za msingi. Simba ni kati ya timu ambazo usajili wake ulizingatia zile 7-2 za msimu uliopita, ndio maana bado wanafanya msajili mpaka sasa kuhofia kile cha msimu uliopita.
Simba ni kati ya timu ambazo usajili wake ulizingatia zile 7-2 za msimu uliopita, ndio maana bado wanafanya msajili mpaka sasa kuhofia kile cha msimu uliopita....UKWELI MTUPU
 
Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.

Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3
Yanga maji ya shingo ule ulikuwa moto wa mabua
 
Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.

Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3.
Kabisa kabisa.
 
Hatujazowea
 
na wanafurahi kweli wakipigwa chache
waandishi pia wana ibeza yanga kwa kutembeza kichapo kidogo

ngoja nyau achapwe iyo tarehe 19 kimoko nae afurahi
Hii trend ya goli moja ni kuwazubaisha makolo., watajidanganya kiwango cha yanga kimeshuka halafu iyo tarehe 19 october watakuja kichwa kichwa, kitakachowapata sasa..........
 
Back
Top Bottom