Yanga ridhikeni na pointi 3, timu zote zimesajili kupunguza kufungwa na Yanga magoli mengi

Yanga ridhikeni na pointi 3, timu zote zimesajili kupunguza kufungwa na Yanga magoli mengi

Hii trend ya goli moja ni kuwazubaisha makolo., watajidanganya kiwango cha yanga kimeshuka halafu iyo tarehe 19 october watakuja kichwa kichwa, kitakachowapata sasa..........
Salama yao wasijekupishana na Yanga, wapaki basi lao nyuma, vinginevyo watamfukuza kocha siku hiyohiyo tena. Eti Yanga yenye kocha na wachezaji walewale iliyomaliza juzi tu kuwakanda goli nyingi Simba, Kaizer, Azam, Vital'o, CBE, Belouzidad na kutoka 2-1 na timu ya ligi ya Ujerumani mara hii wanaiona imeshuka. Jidanganyeni tu.
 
Ken Gold wangepewa goli lao haya maneno yasingekuwepi
Unachokiona sasa kwenye timu zote mwanzo wa msimu ni wachezaji wapya wanaoonyesha JUHUDI kwa kocha wao mpya ili wapate nafasi, na sio Yanga imeshuka. Jidanganyeni tu.
 
Back
Top Bottom