kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Salama yao wasijekupishana na Yanga, wapaki basi lao nyuma, vinginevyo watamfukuza kocha siku hiyohiyo tena. Eti Yanga yenye kocha na wachezaji walewale iliyomaliza juzi tu kuwakanda goli nyingi Simba, Kaizer, Azam, Vital'o, CBE, Belouzidad na kutoka 2-1 na timu ya ligi ya Ujerumani mara hii wanaiona imeshuka. Jidanganyeni tu.Hii trend ya goli moja ni kuwazubaisha makolo., watajidanganya kiwango cha yanga kimeshuka halafu iyo tarehe 19 october watakuja kichwa kichwa, kitakachowapata sasa..........