ukweli mtupuBaada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu na kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.
Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3
Maneno na kaulimbiu ya msemaji kama vile "kufosi" na nini ni kuongeza pressure mashabiki na wachezaji bila sababu za msingi. Simba ni kati ya timu ambazo usajili wake ulizingatia zile 7-2 za msimu uliopita, ndio maana bado wanafanya msajili mpaka sasa kuhofia kile cha msimu uliopita.ukweli mtupu
Na Yanga ikifunga goli nyingi, mnasema imenunua Mechi. Waafrika tuna changamoto sana.Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.
Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3
Simba ni kati ya timu ambazo usajili wake ulizingatia zile 7-2 za msimu uliopita, ndio maana bado wanafanya msajili mpaka sasa kuhofia kile cha msimu uliopita....UKWELI MTUPUManeno na kaulimbiu ya msemaji kama vile "kufosi" na nini ni kuongeza pressure mashabiki na wachezaji bila sababu za msingi. Simba ni kati ya timu ambazo usajili wake ulizingatia zile 7-2 za msimu uliopita, ndio maana bado wanafanya msajili mpaka sasa kuhofia kile cha msimu uliopita.
Yanga maji ya shingo ule ulikuwa moto wa mabuaBaada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.
Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3
Moto wa mabua mkafukuza kocha na kusema wachezaji wenu waliuza mechi kwe kwe kwehYanga maji ya shingo ule ulikuwa moto wa mabua
Goli nyingi za zilikuwa za YANGA shopkeeper at shopna wanafurahi kweli wakipigwa chache
waandishi pia wana ibeza yanga kwa kutembeza kichapo kidogo
ngoja nyau achapwe iyo tarehe 19 kimoko nae afurahi
Kabisa kabisa.Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.
Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3.
na pia wasishangae kuona kuna timu zinapata mabao mengi kutoka kwa hizo hizo wao walizopata bao moja!Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3.
HatujazoweaBaada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga.
Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3.
Hii trend ya goli moja ni kuwazubaisha makolo., watajidanganya kiwango cha yanga kimeshuka halafu iyo tarehe 19 october watakuja kichwa kichwa, kitakachowapata sasa..........na wanafurahi kweli wakipigwa chache
waandishi pia wana ibeza yanga kwa kutembeza kichapo kidogo
ngoja nyau achapwe iyo tarehe 19 kimoko nae afurahi