Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Sasa imagine msimu huu Yanga ndio INA kikosi bora kabisa kuwahi kutokea, kwa hili siku za Nabi kuwa Yanga zinahesabika, kiu ya Wana Yanga ni international games ambazo kimsingi zimemshinda.
Lakini si kuna unbeaten?

Halafu hicho kikosi bora ambacho kila siku unakiimba humu ni kipi, bwana Matola?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna namna viongozi wetu wabadilike.

Hii club ishakua kongwe sasa na kubwa katika ndani ya mipaka ya nchi.

Sitaki kuamini kama hii mechi hakukua na mpango maalumu wala wa kueleweka.

Kuna jinsi ambavyo viongozi wanatakiwa wawajibike.
 
Jamani kimataifa ni kugumu chukueni hiyo kama challenge msipende kubeza ushindi anaoupata mwenzako kuchukulia simple

Na huyu ni Club Africain, alingekuwa Pyramid ingekwaje?
Mtani Yanga tumecheza Mpira ni vile mechi imekataa, kama ww ni mtu wa mpira utaelewa ila kama ni shabiki basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…