Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Sasa imagine msimu huu Yanga ndio INA kikosi bora kabisa kuwahi kutokea, kwa hili siku za Nabi kuwa Yanga zinahesabika, kiu ya Wana Yanga ni international games ambazo kimsingi zimemshinda.
Lakini si kuna unbeaten?

Halafu hicho kikosi bora ambacho kila siku unakiimba humu ni kipi, bwana Matola?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa hivi kabla ya mechi.. Basi sawa
JamiiForums1160296541.jpg
 
Jamani kimataifa ni kugumu chukueni hiyo kama challenge msipende kubeza ushindi anaoupata mwenzako kuchukulia simple

Na huyu ni Club Africain, alingekuwa Pyramid ingekwaje?
Mtani Yanga tumecheza Mpira ni vile mechi imekataa, kama ww ni mtu wa mpira utaelewa ila kama ni shabiki basi
 
Back
Top Bottom