Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Kweli kabisa Mkuu yaani Nabi Kimataifa amekuwa na mbinu mbovu mno aisee.

Na mpaka tulipofikia anaonekana si wa kubadilika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani nimecheka had nataka kuangusha cm, mie sitakiiiiii.

Weraaaaaaaaaaaah!!!!
 
Sometimes Simba anaweza kupotia nyakati ngumu timu haina muunganiko haichezi katika kiwango kizuri lakini linapokujaa swala la CAF inakuwa ni habari nyingine

Hata mpinzani akiwa na kikosi kizuri kuliko Simba anaweza kupoteza mchezo kutokana na ule woga wa kujua anacheza na timu yenye title gani Africa

Al Hilal walipokuwa wanajiandaa kukutana na Yanga waliomba mechi ya kirafiki na Tp Mazembe

Mazembe akawavaliaha jezi wachezaji wa timu ndogo ya mtaani huku Al Hilal asijue, lakini mwisho wa siku Al Hilal alipasuka bao 3

Club Africain wangecheza na Simba leo hii tungetegemea kusikia maneno ya mashabiki wa Yanga kuwa "mlipangiwa na vibonde"
 
Kunguru akikunyea si kwamba ana shabaha mechi haijaisha hii, hawa tunawapelekea moto nyumbani kwao. Achaneni na makolo wachawi wakubwa hao
Nakazia Mkuu.

Watakimbia hili jukwaa siku hiyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani nimecheka had nataka kuangusha cm, mie sitakiiiiii.

Weraaaaaaaaaaaah!!!!
Bora ingeanguka tu Mtani. (Jokes)

Nawaza hivi tungefungwa mngekuwa na hali gani nyie. Lol
 
Sio kuna siku, muda huu ni mavuno ya chuki mlizopanda. Unakumbuka mlipokuwa mnapokea wageni
Bado, save hii comment, vile vifo unavyovisikia vya mkanyagano kwenye nchi za wenzetu mtakuja kuvishuhudia live Tanzania, naandika kitu ninachokijuwa vizuri.

Hizi timu mbili zinamilikiwa na Ccm na imefaulu kuwapumbaza Watanzania.
 
Kweli kabisa Mkuu yaani Nabi Kimataifa amekuwa na mbinu mbovu mno aisee.

Na mpaka tulipofikia anaonekana si wa kubadilika.
Hii ni improvement kubwa kwa Yanga mwaka jana alicheza mechi mbili za mashindano na alipoteza nyumbani na ugenini lakini mwaka huu amecheza mechi tano mpaka sasa ameshinda mbili, ametoa sare na suluhu 2 amepoteza moja!!! Tuwe na shukran na kila hatua tunayopiga jamani sisi binadamu!!
 
Sasa nimejua kwanini Nabi alifurushwaga kula Al merikh ya Sudani.
Abaki hapa aifunge simba na Geita kwa msaada wa marefa.
 
Kuna namna viongozi wetu wabadilike.

Hii club ishakua kongwe sasa na kubwa katika ndani ya mipaka ya nchi.

Sitaki kuamini kama hii mechi hakukua na mpango maalumu wala wa kueleweka.

Kuna jinsi ambavyo viongozi wanatakiwa wawajibike.
Wagaweee bahasha kwa marefa, zilizojaa miamala ya tozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byutiiiiii byutiiiiiiii, mmevurugwaaaa vibaya.
Mkaee kwa kujishikilia, uwiiiiih
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa....kazi ya Mungu Haina makosa.........

Sisi tulimpenda lakini waarabu wamewapenda zaidi.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata kama Mkuu. Kwa kikosi tulichonacho hatupaswi kuwa tia maji tia maji bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…