Sometimes Simba anaweza kupotia nyakati ngumu timu haina muunganiko haichezi katika kiwango kizuri lakini linapokujaa swala la CAF inakuwa ni habari nyingine
Hata mpinzani akiwa na kikosi kizuri kuliko Simba anaweza kupoteza mchezo kutokana na ule woga wa kujua anacheza na timu yenye title gani Africa
Al Hilal walipokuwa wanajiandaa kukutana na Yanga waliomba mechi ya kirafiki na Tp Mazembe
Mazembe akawavaliaha jezi wachezaji wa timu ndogo ya mtaani huku Al Hilal asijue, lakini mwisho wa siku Al Hilal alipasuka bao 3
Club Africain wangecheza na Simba leo hii tungetegemea kusikia maneno ya mashabiki wa Yanga kuwa "mlipangiwa na vibonde"