Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UTOPOX = United Traditional and Ordinary Players On Exit🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
 
Unatia huruma mpaka unaonekana una busara
nyinyi ni wabovu subiri muwapokee wageni tu
Wewe ndio unatia huruma na kutafuta faraja kwa timu zinazocheza na Yanga, mkikutana na Yanga hamna lolote kelele tu.
 
Daah Yanga mnavunja moyo sana daah sina hamu kabisa kuwashabikia.
Mnakubalije kuwa wa mchangani siku zote.
Wanaume wanaupiga mwingi kimataifa ninyi mmeridhika mchangani? Aaaaah.

Inatosha
Byutiiiiiiiii byutiiiiiiiiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…