Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Inategemea sasa Mkuu wachezaji hawa tunaowaona sasa watakuwepo kipindi hicho?

Mie huwa naona unapokuwa na kikosi kizuri ndo wakati wa kufanya vizuri pia sababu hiyo miaka miwili sijui mitatu ya kusema tutafika mbali si ajabu wachezaji hawa wote hata wasiwepo tukawa na wengine wapya ambao mwisho wa siku tutasema hawajazoweana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UTOPOX = United Traditional and Ordinary Players On Exit🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
 
Daah Yanga mnavunja moyo sana daah sina hamu kabisa kuwashabikia.
Mnakubalije kuwa wa mchangani siku zote.
Wanaume wanaupiga mwingi kimataifa ninyi mmeridhika mchangani? Aaaaah.

Inatosha
Byutiiiiiiiii byutiiiiiiiiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom