Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Bahasha haikufika kwa wakati ...imagine bahasha imefika mda huu na game ishaishaKuna namna viongozi wetu wabadilike.
Hii club ishakua kongwe sasa na kubwa katika ndani ya mipaka ya nchi.
Sitaki kuamini kama hii mechi hakukua na mpango maalumu wala wa kueleweka.
Kuna jinsi ambavyo viongozi wanatakiwa wawajibike.
Hahaha utafikiri kadondosha hela
Asante sana japo sijaridhika na haya matokeo kwasababu nilitaka kuimaliza mechi hapa hapa ugenini ili nikienda kule nyumbani niwe na kazi ndogo tupole mtani
Zile siku hizi mmepata mganga kiboko sana ngumu kutabiri. Mganga wa kimataifa ndio hamna.Dooh! Bora kuwashangilia maveterani aisee.
Tunataka maneno mapya hayo tunayajua tuliyasikia kule SudanAnasema vijana wemeipambania team, bahati haikuwa upande wetu tutaenda kupindua mkeka Tunisia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeshaiweka hapaSerious?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna hata Robo hufik km n rahis? Makundi yanakukataa na huingii, hebu ukubali kuwa uwezo n mdogooo.Yani unavyoandika hivi utadhani ni mshabiki wa TP Mazembe iliyochukuwa Ubingwa wa Africa Mara 5, kumbe ni mwanarobo fainali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waarabu wata watawanya vilivyo kule Tunis.[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
#YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO#
Mpira una matokeo matatu, tukutane Tunisia...
Na mpira walicheza kuliko hivikipanga walikaza hivi hivi tena suluhu ya bila kufungana, ila kilichoenda kuwakuta kule wanakijua wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaahHebu rudia tena kusoma uone kama inaleta mantiki
Hauwezi kuwa daima mbele na wakati huo huo mwiko upo nyuma, siyo?
Vyumba gani hivyo vya kubadilishia wachezaji?Na kwa figisu walizozifanya Yanga kwenye vyumba vya kubadilishia Wachezaji, wakienda kwa Waarabu watajuta kuzaliwa
Kikosi bora si kwasababu wanaingiaga uwanjani na wachezaji 12Lakini si kuna unbeaten?
Halafu hicho kikosi bora ambacho kila siku unakiimba humu ni kipi, bwana Matola?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mpira walicheza kuliko hivi
Kipanga kila wakiangalia hii mechi wanaziona goli 9 kule tunis
Huu utetezi haukubaliki na mahakama yeyote dunianiIlikuwa hivi kabla ya mechi.. Basi sawaView attachment 2405166
Kuwafunga mbeya city wa Angola!?
Umbeaten imetupa ubingwa Bara na federation we kolobwanjiUnbeaten mnayo shangilia ni kombe.. mna akili za kisoda sana tumbafu
We ndio unazidi kukoseaKuna namna viongozi wetu wabadilike.
Hii club ishakua kongwe sasa na kubwa katika ndani ya mipaka ya nchi.
Sitaki kuamini kama hii mechi hakukua na mpango maalumu wala wa kueleweka.
Kuna jinsi ambavyo viongozi wanatakiwa wawajibike.
Ataanza kuwapost wake zake kubadilisha madaKwani Ashura Cheupee!!!! anasemaje kwani
Yanga inakutana na timu za maana,siyo njombe mji za Zimbabwe na Angolakama Nabi anauwezo mkubwa, avuke hapo mzee baba..