Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

We ndio unazidi kukosea

Yanga ni Club kongwe ila sio kubwa

Na kama ni ukubwa basi ni ndani sio nje kama wewe unavyosema

Nje Yanga imezidiwa hadi na Namungo
Itakuaje kubwa ndani ambako namungo wapo afu izidiwe na namungo!?
 
Tegemeeni kumwagiwa mav* kule uarabuni. Mnafanya fitina kwa waalimu magwiji wa fitina!? Mmefeli sana yanga. Na fine mnaweza mkapigwa
 
Timu za maana huwa zinacheza Confederation Cup? Nadhani unaota ndoto ukiwa chooni unajiharishia wewe!
Al hilal ni timu nzuri huna uwezo hata wa kupata goli moja, africaine ndo huwawezi kabisa, wafunge Mbabane swallows, big bullets, de agosto
 
Tegemeeni kumwagiwa mav* kule uarabuni. Mnafanya fitina kwa waalimu magwiji wa fitina!? Mmefeli sana yanga. Na fine mnaweza mkapigwa View attachment 2405219

Halafu polisi kazingua, watu wanashambuliwa yeye anachukua kawaida. Ngoja waende uarabuni watachezeshwa saa sita usiku kwenye baridi Kali.
 
Mtani Yanga tumecheza Mpira ni vile mechi imekataa, kama ww ni mtu wa mpira utaelewa ila kama ni shabiki basi
Hiyo haisaidii kitu kama hujapata matokeo

Falsafa ya mashindano haya kwa timu ikiyopo nyumbani kucheza mpira mwingi mbona kawaida

Kwasababu tangu mwanzo muarabu alionesha nia ya kutaka sare au kufungwa goli moja bila
 
Back
Top Bottom