Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Chuki kama ipi?Kuna mwaka tutavuna matunda ya chuki tunazopandikiza.
Kila deni huwa lazima lilipwe na riba juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki kama ipi?Kuna mwaka tutavuna matunda ya chuki tunazopandikiza.
Kila deni huwa lazima lilipwe na riba juu.
Itakuaje kubwa ndani ambako namungo wapo afu izidiwe na namungo!?We ndio unazidi kukosea
Yanga ni Club kongwe ila sio kubwa
Na kama ni ukubwa basi ni ndani sio nje kama wewe unavyosema
Nje Yanga imezidiwa hadi na Namungo
Ukubwa wa ndani si utapimwa kupitia statistics za ndaniItakuaje kubwa ndani ambako namungo wapo afu izidiwe na namungo!?
Hahaha kule wanaenda kukutana na ndoige, hawachomokiIkifika dakika ya 46 huko Tunisia, tutapiga makofi vibanda umiza kulipongeza benchi la ufundi kufikisha mechi 46 unbeaten.View attachment 2405168
Aisee! haya buana 😂😂Yanga inakutana na timu za maana,siyo njombe mji za Zimbabwe na Angola
Nakuwaje mkubwa ndani Kisha mdogo nje kwa yuleyule niliye.zidi ndani!?..ukiwa Kama mbumbumbu fc unaelezajeUkubwa wa ndani si utapimwa kupitia statistics za ndani
Mbeya city ni klabu ya pili kwa ukubwa Tanzania?Kuwafunga mbeya city wa Angola!?
Mbeya city akienda Angola anabeba ubingwaMbeya city ni klabu ya pili kwa ukubwa Tanzania?
Maana De Agosto ndiyo klabu ya pili kwa ukubwa Angola.
Tatizo la afya ya akili.Mbeya city akienda Angola anabeba ubingwa
Yanga inakutana na timu za maana,siyo njombe mji za Zimbabwe na Angola
PoleTatizo la afya ya akili.
Al hilal ni timu nzuri huna uwezo hata wa kupata goli moja, africaine ndo huwawezi kabisa, wafunge Mbabane swallows, big bullets, de agostoTimu za maana huwa zinacheza Confederation Cup? Nadhani unaota ndoto ukiwa chooni unajiharishia wewe!
Tegemeeni kumwagiwa mav* kule uarabuni. Mnafanya fitina kwa waalimu magwiji wa fitina!? Mmefeli sana yanga. Na fine mnaweza mkapigwa View attachment 2405219
Hiyo haisaidii kitu kama hujapata matokeoMtani Yanga tumecheza Mpira ni vile mechi imekataa, kama ww ni mtu wa mpira utaelewa ila kama ni shabiki basi
Utopolo huwa wanatudharau sana, sijawahi elewa sababuIngekuwa Simba Sc hapa 3-0, kama unabisha waulize Kaizer, Merrick na Al Hilal, Agosto, Nyasa mpaka nachoka kutaja hapa