Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Kuna namna viongozi wetu wabadilike.

Hii club ishakua kongwe sasa na kubwa katika ndani ya mipaka ya nchi.

Sitaki kuamini kama hii mechi hakukua na mpango maalumu wala wa kueleweka.

Kuna jinsi ambavyo viongozi wanatakiwa wawajibike.
Bahasha haikufika kwa wakati ...imagine bahasha imefika mda huu na game ishaisha
 
pole mtani
Asante sana japo sijaridhika na haya matokeo kwasababu nilitaka kuimaliza mechi hapa hapa ugenini ili nikienda kule nyumbani niwe na kazi ndogo tu

Anyway ni majaliwa na inabidi nimshukuru Mungu hata kwa hiki kidogo alicho nipatia
 
Anasema vijana wemeipambania team, bahati haikuwa upande wetu tutaenda kupindua mkeka Tunisia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunataka maneno mapya hayo tunayajua tuliyasikia kule Sudan
 
Yani unavyoandika hivi utadhani ni mshabiki wa TP Mazembe iliyochukuwa Ubingwa wa Africa Mara 5, kumbe ni mwanarobo fainali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna hata Robo hufik km n rahis? Makundi yanakukataa na huingii, hebu ukubali kuwa uwezo n mdogooo.

Byutiiiiiiiiiiii byutiiiiiiiii
 
[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
#YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO#
Mpira una matokeo matatu, tukutane Tunisia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waarabu wata watawanya vilivyo kule Tunis.
 
Bora wamecheza mchana...usiku wangetumalizia umeme
 
Hebu rudia tena kusoma uone kama inaleta mantiki

Hauwezi kuwa daima mbele na wakati huo huo mwiko upo nyuma, siyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah
 
Na mpira walicheza kuliko hivi

Kipanga kila wakiangalia hii mechi wanaziona goli 9 kule tunis
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna namna viongozi wetu wabadilike.

Hii club ishakua kongwe sasa na kubwa katika ndani ya mipaka ya nchi.

Sitaki kuamini kama hii mechi hakukua na mpango maalumu wala wa kueleweka.

Kuna jinsi ambavyo viongozi wanatakiwa wawajibike.
We ndio unazidi kukosea

Yanga ni Club kongwe ila sio kubwa

Na kama ni ukubwa basi ni ndani sio nje kama wewe unavyosema

Nje Yanga imezidiwa hadi na Namungo
 
Back
Top Bottom