Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Kwa maoni yako unaona matokeo ya mechi ya leo yamesababishwa na mbinu za kocha au uwezo wa wachezaji?
 
Nigekuwa NABI ningejiuzulu kwa HESHIMA kipindi hichi...badala ya kusubiri Yanga wachoke...
 
Nigekuwa NABI ningejiuzulu kwa HESHIMA kipindi hichi...badala ya kusubiri Yanga wachoke...
Ningekua Nabi ningeomba lifti niondoke na Hawa warabu ......begi alikua nalo pale uwanjani alisahau passport
 
Mlimshambulia sana Zahera alivyowashauri...[emoji28]
 
Bado, save hii comment, vile vifo unavyovisikia vya mkanyagano kwenye nchi za wenzetu mtakuja kuvishuhudia live Tanzania, naandika kitu ninachokijuwa vizuri.

Hizi timu mbili zinamilikiwa na Ccm na imefaulu kuwapumbaza Watanzania.
Kuna uzi nimetoka kuandika jioni hii kuhusu hizi timu mbili kumiliki na CCM.

Hali Ni mbaya sana.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hawa wachezaji wamelegea kuliko hata Waarabu.
Viongozi acheni kutumia pesa yetu hovyo hovyo kutuletea wachezaji nyoronyoro hawa.
Kweli naanza kuamini kwenye ligi kuna kununua matokeo.
 
Mtani Yanga tumecheza Mpira ni vile mechi imekataa, kama ww ni mtu wa mpira utaelewa ila kama ni shabiki basi
Wewe jamaa mwiko nyuma umeondoa maarifa, unadhani walioweka sheria ya magoli mengi ili kusonga mbele hatua zinazofutia walikuwa wajinga.

Unakata mauno ukitaka kumwaga unakata umeme au unamwaga nje, sahau kuitwa baba. Utabaki kujisifia tu kuwa unawatafuna mno.
 
Kweli kabisa Mkuu yaani Nabi Kimataifa amekuwa na mbinu mbovu mno aisee.

Na mpaka tulipofikia anaonekana si wa kubadilika.
Sasa mtani kwa vile mmeshatimuliwa kimataifa mwacheni tu aendelee na unbeaten yake huku NBC.

Maana hata mkifukuza sasa hivi haisadii. Ila tambueni pia ubingwa wa NBC hapati na hapo sasa ndio mfukuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ