Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Liwalo na liwe
FB_IMG_16673739469994097.jpg
 
Kocha karudia tena makosa yale yale ya mechi dhidi ya Al Hilal iliyochezwa hapa Tanzania. Isipokuwa leo kaongeza boko zaidi kwa kumpanga Kisinda. Hivi kwanini anashindwa kujua umuhimu wa Bangala kwenye nafasi ya kiungo mkabaji? Makocha wengine aisee hawajui kujifunza

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Alafu beki acheze nani
 
Hizo ndizo unazizujua? [emoji23][emoji23][emoji23] Umetisha mkuu

Zimebaki Dakika 25' mpira uanze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anazijua yeye alisema hizo 3. Wala sio mie.
Uwiiiiiiih
 
Kombe la Shirikisho ni mashindano ya timu zisizo jielewa.
Timu za hovyo hovyo haya ndio mashindano yake.
 
Club African team piga hivi vinyesi utopolo goli kwa nunge.....

Nipo nimekaa hapa
 
Back
Top Bottom