Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Kikosi kinachoanza cha klabu African
١ محميد على
٢ رشيد بن سعيد
٣ سليمان بن محمد
٤. محمد منصور
٥ عمران حسين
٦ عيسى بن سلطان
٧ حالس عيوب
٨ ياسن ساالم
٩ سمير ناسر
١٠ فهد حسين
١١عبدالله إبن خزيم
 
Subtitute
١ ناصر حماد
٢ شبرات امير
٣. سعيد مولد
٤. جمعة شاكر
٥. مصطفى سعود
٦. علي جابر
 
Leo Yanga anashinda 4 (NNE), kuna watu hawataamini macho na masikio yao.
😳😳😳😳😳😳😳😳😳

Unasemaje? Hii Yanga hii ya akina Kisinda na Ki😳😳😳😳😳
 
Sielewagi kazi ya Kisinda
IMG_20221102_150905.jpg


Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kocha karudia tena makosa yale yale ya mechi dhidi ya Al Hilal iliyochezwa hapa Tanzania. Isipokuwa leo kaongeza boko zaidi kwa kumpanga Kisinda. Hivi kwanini anashindwa kujua umuhimu wa Bangala kwenye nafasi ya kiungo mkabaji? Makocha wengine aisee hawajui kujifunza

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Tunajuaga hizi ndo kauli zenu Maveterani hakuna ambaye anasema hapo nyuma alikuwa mbovu uwanjani.

Ahsante Mkuu.

Siku zote hizi ndo kauli zenu Maveterani hakuna ambaye anasema hapo nyuma alikuwa mbovu uwanjani.

Ahsante Mkuu.
Niruhusu nije inbox nikuambie wapi uje umuone fundi wa soka, tena nikicheza na vijana sio veterans.
 
Back
Top Bottom