Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Hayupo sawa nadhani ndio maana aliachwa huko Berkane sioni akicheza mpira huo unaotazamiwa kutoka kwake ni bora hata hao local wakina Ambundo na Nkane yaani huyo anabadilishwa na Kambole Mzambia nadhani tuna tatizo sehemu ila sio wa kumtoa Kambole awekwe Kisinda..
Labda wamuingize sub kulingana na game itakavyo kuwa anaweza kuwa na msaada somehow
 
Yeye anakimbia peke yake wale wanataka wapitwe kwa pasi za kupenyeza mambo ya Krosi Yanga hawawezi kucheza hata mipira ya kona hatupo sawa tunaweza kupata Kona nyingi na zisifanye kazi zaidi zaidi tunapigwa Counter na kuwa madhara kwetu..sema akicheza Sure boy na vijana wengine wa kazi itakua sio mbaya ila kumtegemea Mayele peke yake sioni kama ni sahihi kocha inatakiwa aje na mbinu mbadala maana waarabu wamekuja kucheza dakika chache Taifa kupoteza muda na kuzuia..
 
Unamaanisha Nabi achezeshe double striker?
 
Ikiwezekana Mkuu Waarabu wanakaba mno hata ile mechi ya wale Wasudani wangechezeshwa hivyo maana watu wanazuia muda wote na kumbuka mipira ya faulo huko KB nj kama penati ila mara nyingi Yanga hawaitumii vizuri..
 
Back
Top Bottom