Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Faridi Mussa ni bora kuliko hao wote
Farid sijamoosoa nomekosoa wale wachezaji anaopendelea kocha kuwapanga yule dogo ni mwepesi hata mechi ya leo inamfaa ila kocha anaweza kumuweka benchi..
 
Mi hata sielewi wanampendea nini yule jamaa hahaha. Atakua anachezea mpira dawa. Hata waarabu Berkane nilishangaa sana kumchukua, japo sikushangaa mara ya pili maana kocha wakati ule alikua Ibenge kocha wake wa zamani AS Vita. Yule hata mimi hanipati kiwango changu cha kusakata kabumbu, ana mibio tu kama kichaa na bado haina tija.
Anamsaidia lines man [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Leo saa 10:00 Jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki Yanga Sc watashuka dimbani kumenyana na Club Africaine ya Tunisia

Ikumbukwe kuwa Yanga Sc ndio wawakilishi pekee Kutoka Tanzania Kwenye kinyang'anyiro hiki Cha Caf Confederation Cup.

Hivyo wanawakilishi nchi yetu

Tutaleta live updates hapa kuanzia saa 9:00 jioni na mchezo utakuwa live kupitia Azam Tv chaneli ya Azam Sports One HD.
Mimi kama mwarabu wa tanga, nawatakia heri zote Club Africain
 
Leo saa 10:00 Jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki Yanga Sc watashuka dimbani kumenyana na Club Africaine ya Tunisia

Ikumbukwe kuwa Yanga Sc ndio wawakilishi pekee Kutoka Tanzania Kwenye kinyang'anyiro hiki Cha Caf Confederation Cup.

Hivyo wanawakilishi nchi yetu

Tutaleta live updates hapa kuanzia saa 9:00 jioni na mchezo utakuwa live kupitia Azam Tv chaneli ya Azam Sports One HD.
Yanga wanaelekea Golgotha, Mahala pa Fuvu la Kicha paite Calvary
 
Back
Top Bottom