Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asicheze kabisa yeye na Moloko ni aina moja ya uchezaji ila Moloko anachomzidi Kisinda yeye anaweza kuulinda mpira na akatoa pasi sahihi..Labda wamuingize sub kulingana na game itakavyo kuwa anaweza kuwa na msaada somehow
Mimi kama SIMBA damu nawatakia Yanga ushindi ila naona wameshashindwa kabla ya mechi kutokana na huu utetezi wa mapema wa kocha wao... Jumbe kama hizi huu sio wakati wake! Huu ni wakati wa kujengana confidence na kupeana moyo! Ikiwezekana Yanga wawaige SIMBA! Kuiga kitu chema sio dhambi.. Ikishinda yanga imeshinda TanzaniaLeo saa 10:00 Jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki Yanga Sc watashuka dimbani kumenyana na Club Africaine ya Tunisia
Ikumbukwe kuwa Yanga Sc ndio wawakilishi pekee Kutoka Tanzania Kwenye kinyang'anyiro hiki Cha Caf Confederation Cup.
Hivyo wanawakilishi nchi yetu
Tutaleta live updates hapa kuanzia saa 9:00 jioni na mchezo utakuwa live kupitia Azam Tv chaneli ya Azam Sports One HD.
Linguistic kwenye ushabiki wa soka hasa kwenye hizi timu mbili tuvumiliane tuu mkuuMwanangu ww ni mtu wa Mpira, punguza Roho ya aina Hii Mkuu
#DaimaMbeleNyumaMwiko.[emoji23]Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Ushindi mnono ndo kusudio letu na si vinginevyo.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mipira ya kutengwa mpigaji si yule yule Azizi Ki, utasemaje hamuitumii vizuri wakati mna left shooterIkiwezekana Mkuu Waarabu wanakaba mno hata ile mechi ya wale Wasudani wangechezeshwa hivyo maana watu wanazuia muda wote na kumbuka mipira ya faulo huko KB nj kama penati ila mara nyingi Yanga hawaitumii vizuri..
Imani kwenye soka inaweza kukuingiza chaka hasa kwenye timu kama hiyo inayoabudu shirki kuliko ujuzi[emoji1544][emoji1550][emoji16]Imani Yangu ya Kikristo Tena Roman inaniambia Yanga anashinda goal 3 bila
Mi hata sielewi wanampendea nini yule jamaa hahaha. Atakua anachezea mpira dawa. Hata waarabu Berkane nilishangaa sana kumchukua, japo sikushangaa mara ya pili maana kocha wakati ule alikua Ibenge kocha wake wa zamani AS Vita.Hayupo sawa nadhani ndio maana aliachwa huko Berkane sioni akicheza mpira huo unaotazamiwa kutoka kwake ni bora hata hao local wakina Ambundo na Nkane yaani huyo anabadilishwa na Kambole Mzambia nadhani tuna tatizo sehemu ila sio wa kumtoa Kambole awekwe Kisinda..
Mwana mpotevuKila la kheri Timu ya Wananchi.
Ushindi mnono ndo kusudio letu na si vinginevyo.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Harakati za maisha tu Mtani.Mwana mpotevu
Eeeh!Mi hata sielewi wanampendea nini yule jamaa hahaha. Atakua anachezea mpira dawa. Hata waarabu Berkane nilishangaa sana kumchukua, japo sikushangaa mara ya pili maana kocha wakati ule alikua Ibenge kocha wake wa zamani AS Vita. Yule hata mimi hanipati kiwango changu cha kusakata kabumbu, ana mibio tu kama kichaa na bado haina tija.
Faridi Mussa ni bora kuliko hao woteAsicheze kabisa yeye na Moloko ni aina moja ya uchezaji ila Moloko anachomzidi Kisinda yeye anaweza kuulinda mpira na akatoa pasi sahihi..
Kazeni matako nyie utopolo... Huo mwiko huko nyuma leo mjitahidi muuchomoe mshinde...
Imani Yangu ya Kikristo Tena Roman inaniambia Yanga anashinda goal 3 bila
#DaimaMbeleNyumaMwiko.[emoji23]