Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Bangala
Bangala
Diarra
Job
Bangala
Kisinda
Juma Shaban
Aziz Kii
Aziz Kii
Juma Shaban
Mayeleee

Mpira unakua mwingi pale
 
Mpira wa kurusha kuelekea Yanga

Club Africain
Wanapoteza

Fei
Aucho
Morison

Anapoteza

Club Africain

Wanatoa

Madhambi Morison kacheza fyongo
 
Morrison anaweza kuigharimu timu, ni vyema kipindi cha pili afanyiwe sub ya mapema
 
Radio siku hizi zimekuwa za hovyo na sikiliza mpira kwenye radio ,matangazo ya kamali kibao mchambuzi mwenyewe mwanamke nae hovyo hajui kuchambua analeta maswala ya body language kwenye mpira yaaani aghriiiiiiiiiihhhhhh........
 
Juma Shaban
Aucho
Auchoooooo

Anapiga fyongo

Dakika 33'

Yanga 0-0 Club Africain

Upande wa kisinda umelala
Pasi hazimfikii Mayele
 
Game plan ya yanga imefeli. Waarabu wanapooza mpira na wao hawana hata haraka. Wanaruka ruja uwanjani
 
Injinia zile bahasha hakikisha zinafika dressing room kwa wakati kabla ya halg time.
JamiiForums1941351772.jpg
 
Back
Top Bottom