Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Job
Kibwana
Diarra
Bangala
Kisinda
Bangala
Juma Shaban
Bangala
 
Hiki kikosi kisipoanza kufumuliwa taratibu kuanzia hili dirisha dogo, basi huko mbele itakuja kuwalazimu muachane na kundi kubwa la wachezaji wa nje ili muingize kubwa jingine, na hapo ndipo mtakapopoteana.

Simba Sc ilionekana ni ya ajabu sana kuwekeza kwa vijana ila nadhani mnaojua mpira mtakuwa mnaelewa sasa, ni nani aliyekuwa na malengo ya muda mrefu.

Next season mtawakataa hawa wafuatao:-

Kisinda (mkataba 2yrs)
Aucho
Moloko
Morrison(hakuna alichokuja kuongeza ilikuwa ni siasa tu)

Aziz Ki (Wengi hamtaki kukibali ila huyu jamaa liability tukijaribu kuhuisha kazi anayofanya uwanjana na maslahi anayochuma hapo Yanga)

Diarra (Msimu huu anaonekana kupoteza ubora)



Hapo Yanga Sc player wa maana (wakigeni) kwasasa ni Bangala tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom